Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,518 Reaction score 20,492 Jul 23, 2025 #221 Jack Daniel said: Mtu anakunywa chai,sasa anapovuta inasikika sauti hadi aibu huwa naona mimi , Click to expand... Sasa chai ya moto utaachaje kuvuta? Hebu jaribu kuinywa kama maji uone kitakachokukuta!
Jack Daniel said: Mtu anakunywa chai,sasa anapovuta inasikika sauti hadi aibu huwa naona mimi , Click to expand... Sasa chai ya moto utaachaje kuvuta? Hebu jaribu kuinywa kama maji uone kitakachokukuta!
P po sumbe JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 513 Reaction score 621 Jul 23, 2025 #222 Lububi said: Nikisikiliza zile clips 2 za ester bulaya nakosa jina la kumuita. Kuona aibu kwa niaba ndo huku kunanipata! Click to expand... Acha tu,ndio maisha wamechagua japo wanajitoa ufahamu.
Lububi said: Nikisikiliza zile clips 2 za ester bulaya nakosa jina la kumuita. Kuona aibu kwa niaba ndo huku kunanipata! Click to expand... Acha tu,ndio maisha wamechagua japo wanajitoa ufahamu.
P po sumbe JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 513 Reaction score 621 Jul 23, 2025 #223 Lububi said: Hii ukisafiri na wasukuma msimu wa embe dodo utakoma. Click to expand... Kuna mzee mmoja nilikaa karibu yake kwenye bus. Mzee ana kisu na kimfuko kumbe kajaza machungwa,aliyachakata kama 10 au zaidi straight. 😂
Lububi said: Hii ukisafiri na wasukuma msimu wa embe dodo utakoma. Click to expand... Kuna mzee mmoja nilikaa karibu yake kwenye bus. Mzee ana kisu na kimfuko kumbe kajaza machungwa,aliyachakata kama 10 au zaidi straight. 😂