Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Yeye sheria ya mavazi haimuhusu? au imebaki kwa ma HR kuwabana watumishi wa kawaida huku makazini.
 
Je ni sababu zipi hufanya MTU kuwa
Mzuri wa sura umbo
Akili ya Maisha
Akili ya darasani
Mke na Mama mtoto wa vunja Bei
Inafikirisha Sana.
 
Mzee punguza kukagua watu. Tunahtaji watu Smart sio wavaaji Smart
Sawa kabisa.
Sishangai nikikukuta ofisini umevaa pensi na jezi la Galatasaray, huko kichwani nywere umetibua!.
 
Sawa kabisa.
Sishangai nikikukuta ofisini umevaa pensi na jezi la Galatasaray, huko kichwani nywere umetibua!.
Nina dogo mmoja mlevi mkubwa halafu uvaaji hamna kitu ila bana kazin kwao wanavyom
Sawa kabisa.
Sishangai nikikukuta ofisini umevaa pensi na jezi la Galatasaray, huko kichwani nywere umetibua!.
Bro hii nchi imeongozwa na wavaa suti mpaka kesho lakin wanataka kuiachia bandari bure kabisa. Live
 
Wala haijabana maungo na kusababisha tafrani kwenye kitengo cha teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…