Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Ni kumwomba tu kwa hali tunayopitia ..nimeenda car wash mchana wa leo ..waosha magari wote wanakohoa na chafya nyingi hapa tegeta...
Mimi sijaenda sehemu yeyote ile, ila hapa nina mafua na kikohozi hatari sana
 
"Rais yuko ikulu anachapa kazi, tena kanipa salamu zenu"
Endelea kumwamini

Huku ni kufanya mzaha na maisha ya watu.

Na sikukuu hizi kuna watu watapeleka mbegu hadi vijijini kwa kutokuwepo kwa taarifa sahihi.
 
Ni kumwomba tu kwa hali tunayopitia ..nimeenda car wash mchana wa leo ..waosha magari wote wanakohoa na chafya nyingi hapa tegeta...

Tunaambiwa ni hali ya kawaida kupo sawa wakati wao wamehodhi taarifa sahihi kwao na familia zao.
 
Yani unataka serikali ndo ikwambie ujikinge/uchukue tahadhari?
 
Yani unataka serikali ndo ikwambie ujikinge/uchukue tahadhari?

Mawazo duni kabisa ya kufungia mwaka 😁😁.

Magonjwa ya milipuko kama haya ambayo dunia inayaita janga, hayakupi wewe nafasi ya kujiokoa mwenyewe kama ambavyo ungependa na bila hata ya taarifa sahihi.

Mzee baba si angekuwapo basi?

Huu siyo ukimwi mjomba.
 
Mazuzu awawezi kukuelewa
 
Duh ndiyo narecover hapa, haijawahi kuwa hivi ni maumivu makali mnoo
 
Jana nimekwenda hosp nikaambiwa kuna watu wamelazwa pale kwa flu
 
Sie sometimes tunaishi kama wachina wachina vile too secretive. Ila alhamdulilah na hili litapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…