Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Sie sometimes tunaishi kama wachina wachina vile too secretive. Ila alhamdulilah na hili litapita.

Litapita kwa ile style ya kuficha taarifa kila mtu na lwake hali wao wamesimama palipo salama zaidi.

Yakikukuta basi hilo janga lako ule na wa kwenu.
 
Jana nimekwenda hosp nikaambiwa kuna watu wamelazwa pale kwa flu

Mazuzu wanasema herd immunity hulazwi hospitali kana kwamba wana uhakika wagonjwa wote hawalazwi, hawafi, wala hawaathiriki.
 
🤣🤣 kila mwaka!!?? kila mwaka kuanzia Tanganyika ipate uhuru? Au enzi za mkoloni?

Ndiyo maana wanaitana uhuni, utapeli na hata uroboto 😁😁.

Kazi kweli kweli.
 
Mazuzu awawezi kukuelewa

Mazuzu yatajifanya yanaelewa na kuwa eti kuna herd immunity ambayo haipo kokote duniani na nchini hata waliochanjwa wakiwa chini ya 2%.

Kwa hakika ujinga ni mzigo kama ilivyo kwa kuni tu ambao nao hubebwa kichwani.
 
Kweli aisee! Mwezi Kama huu mwaka ule, yalipita mafua makali na wengi tulipitiwa, Kisha January tukaambiwa Kuna Ugonjwa mpya unaitwa COVID-19. Sijawahi kuamini Kama outbreak Ile haikua ya COVID-19.
 
Duh,Muogope Mungu. Makonda wote!?
Halafu umepanda daladala za wapi Mkuu!?
Maana jana tu ulikua Sanya juu!?
Sawa,umefika Dar kwa ndege,huko hali ilikuaje!?

Daladala si ziko mijini kote mjomba?
 
Kweli aisee! Mwezi Kama huu mwaka ule, yalipita mafua makali na wengi tulipitiwa, Kisha January tukaambiwa Kuna Ugonjwa mpya unaitwa COVID-19. Sijawahi kuamini Kama outbreak Ile haikua ya COVID-19.

Taabu yake ni kupita na kuondoka na watu ambao wangeweza kuepushwa kutokana na uzembe wa tuliowapa dhamana ya kuwalinda.
 
Taabu yake ni kupita na kuondoka na watu ambao wangeweza kuepushwa kutokana na uzembe wa wenye dhamana ya kuwalinda.
Pamoja na jitihada zozote ambazo kama nchi tunazoweza kuchukua, assume all standard and recommended measures are put in place, still Kuna watu watakufa. That's natural history of any disease. Ni kweli tuendelee kuchukua tahadhari zote lakini suala la kufa anayejua ni Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…