Yani vile nimeugua kuanzia alhamisi mpaka jana! Mungu anajua. Nilianza kata tamaa.Homa kali,mafua,kifua,baridiiiii mwili mzima.
Nimepambana na madawa ya kila aina at least leo naona naanza hata kujielewa.
Kuna shida ipo
Wazungu wameingia lock down mwaka jana hawana hamu nayo tena kwa sasa ni kila mtu apambane kivyake Lockdown inasababisha vifo vingi sana kuliko watu wakiachwa wajicontrol wenyewe,Ujinga mzigo mjomba panga kuutua kwanza
Nimejibu koment yako. Huyo mleta hoja au mada anataka kulazimisha hisia zake ndio sahiii. And serikali kusema ni mafua ya msimu hawako sahihi. Ndio hapo ukapewa reference ya mafua 2019. Unaanza kuleta habari zako za covid.
Wazungu wameingia lock down mwaka jana hawana hamu nayo tena kwa sasa ni kila mtu apambane kivyake Lockdown inasababisha vifo vingi sana kuliko watu wakiachwa wajicontrol wenyewe,
Mungu atuepushe na majanga haya, amin.
Umeongea Kama masihara hivi. Lakini ndiyo ukweli makonda Wana mafua sanaKiukweli kuna tatizo.
Jaribu kupanda daladala uone makamasi na vikohozi vya abiria bwashee, yaani makonda wote wana mafua!
Kama Watu wanapata mafua kwa wingi hivi na hakuna anaefikia hatua ya kulazwa tuseme Alhamdulillah hii ndio Herd Immunity ya Jumla inajijenga na baada ya hapo itapita kama hakuna kitu
Hata 2019 miezi kama hii hali ilikuwa kama hii na ikatusaidia kuvuka salama tulivyovuka
Hapa naandika mkono unatetemeka, maumivu ya misuri, hamu yakuala Sina, macho yanawasha, Koo Lina kereketa mafua na makohozi hayatiririki Ila kiasi flani nikivuta Kwa kutumia larryings Basi mazito yanatokea mdomoni.
Mafua nimeugua Mara kibao, hiyo wanayoita influenza, dalili zake hazi hivi.
Hakika hii ni Corona/omicron. Nameza Panadol na azithromycin. Nakunywa maji mengi. Nimejitenga na wazee wote, ikiwepo majirani,wazazi na hata wale wa kazini.
Wenye Imani naombeni Mniombee nisipate complications.
Chukueni tahadhari, naamini zam hii ni kimya kimya.
Umeongea Kama masihara hivi. Lakini ndiyo ukweli makonda Wana mafua sana
Kwahiyo unataka nchi iwe kwenye lockdown watu wafe kwa hofu? Na chakula utawapa wewe? Bora maisha yasonge kila mmoja achukue tahadhari
Hata mwaka jana 2020 kama unakumbuka watu walienda makwao na wakaenda kuyaacha mafua huko Januari na Feb 2021 ilikuwa hatari sasa kama hawakujifunza waache kila mtu apambane na hali yakeSina hakika wapi unayasoma wewe hayo ya lockdown.
Kwamba? "..Bora maisha yasonge .."
Siyo kuwa acha kila litakayemkuta atakuwa kachuma janga na kula na wa kwao?
Haya sasa wamesema ni mafua ya kawaida mwisho wa mwaka huu watu wanakwenda makwao na bila tahadhari zozote.
Watakwenda likizo na janga wakavume na wakwao.
"Shamefully Tanzanian."
Hata mwaka jana 2020 kama unakumbuka watu walienda makwao na wakaenda kuyaacha mafua huko Januari na Feb 2021 ilikuwa hatari sasa kama hawakujifunza waache kila mtu apambane na hali yake
Kila mtu apambane na hali yake ila tusitiane hofu na kutishanaSerikali nayo kama ina kauli kama yako ingalipo ikimwakilisha na ikifanya kazi gani basi ππ?
Umeandika nini?Kulazimishwa hisia za mtu kwani wewe zuzu?
Kila mtu apambane na hali yake ila tusitiane hofu na kutishana
Umeandika nini?
Pole sana, nakutakia mapambano mema jiatahidi usikate tamaa ningekushauri ufanye mazoezi haswa kukimbia ili ufungue mapafuHapa naandika mkono unatetemeka, maumivu ya misuri, hamu yakuala Sina, macho yanawasha, Koo Lina kereketa mafua na makohozi hayatiririki Ila kiasi flani nikivuta Kwa kutumia larryings Basi mazito yanatokea mdomoni.
Mafua nimeugua Mara kibao, hiyo wanayoita influenza, dalili zake hazi hivi.
Hakika hii ni Corona/omicron. Nameza Panadol na azithromycin. Nakunywa maji mengi. Nimejitenga na wazee wote, ikiwepo majirani,wazazi na hata wale wa kazini.
Wenye Imani naombeni Mniombee nisipate complications.
Chukueni tahadhari, naamini zam hii ni kimya kimya.
Mimi natumia konyagi au K vant yanakimbia yenyewePata Dry Wine Uachane Na Mafua