Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni biashara kama biashara zengine ambazo bei ikiwa kubwa watu husema ila wewe biashara ikiguswa uñawaambia wengine nao wawe wakulima.Kilimo ni biashara.
Ushauri sahihi sana. Ni kuomba tu siasa isiingie.Msimu huu hadi msimu ujao mahitaji ya chakula yanatarajiwa kuongezeka duniani.
Wekeza sasa ktk kilimo
Watu kusema sio tatizo maana tunasema kila wakati. Ila kushinikiza serikali ishushe bei ni tatizo.Ndio ni biashara kama biashara zengine ambazo bei ikiwa kubwa watu husema ila wewe biashara ikiguswa uñawaambia wengine nao wawe wakulima.
Ninahisi michongo ya mjini imekubali. Kwa sasa hapana. Nijipange kwanzaMsimu huu hadi msimu ujao mahitaji ya chakula yanatarajiwa kuongezeka duniani.
Wekeza sasa ktk kilimo
Kwahiyo mkuu ulitakaje kwamba watu wasiseme kwamba gharama za chakula kupanda? Kwamba unaona watu hawataki kuona wakulima mkiwa matajiri sasa hivi?Inawezekana kuwa mkulima kwa ajili ya familia yako tu na wapo wanaofanya.
Pambana au iambie serikali ifungue duka la maharage, mahindi, mchele kwa bei nafuu kama ilivyofungua shule na hospitali kwa bei nafuu.
View attachment 2396210View attachment 2396211
Watu waseme tu ila wasiishinikize serikali ishushe bei. Walalamike kama wanavyolalamika wakilipa ada huko private school, wakinunua mabati, wakilipia matibabu private hosp n.kKwahiyo mkuu ulitakaje kwamba watu wasiseme kwamba gharama za chakula kupanda? Kwamba unaona watu hawataki kuona wakulima mkiwa matajiri sasa hivi?
Mimi nashangaa kama maharage kilo ni 4000 si ununue nyama nusu kilo ni 4000 pia? Mbona huko mjini mnaendelea kupiga bia kama kawaida?? [emoji12] [emoji12]Kula kitu kingine mkuu si lazima maharage.
Kwanza ulaji wa mara kwa mara wa hayo mazao makabu kunaleta udumuvu, mengi hiwa na sumu kuvu na madawa ya uhifadhi nafaka.
Nani kashinikiza humu zaidi wewe ukiona uzi wenye kulalamika bei za chakula kuwa juu unaona kama watu hawataki nyie wakulima mjengo maghorofa kwamba mnaona wanawabania ndio maana unakuja na kauli za kuwaambia wengine nao wakalime.Watu kusema sio tatizo maana tunasema kila wakati. Ila kushinikiza serikali ishushe bei ni tatizo.
Kote huko watu hulalamika na hutoa mapendekezo nini kifanyike ila mkiguswa nyie ndio mnakuja na kauli za kuwataka watu wote wawe wakulima.Watu waseme tu ila wasiishinikize serikali ishushe bei. Walalamike kama wanavyolalamika wakilipa ada huko private school, wakinunua mabati, wakilipia matibabu private hosp n.k
[emoji1] kweli mkuu lkn pia si ndo faida kwa wote wanaohenyeka kulima kwa shida na mbolea za gharama nao wapate?Kwa hali hii afya yetu ya akili itazidi kuzorota tu
Kwani unalalamika ili nn kitokee?Nani kashinikiza humu zaidi wewe ukiona uzi wenye kulalamika bei za chakula kuwa juu unaona kama watu hawataki nyie wakulima mjengo maghorofa kwamba mnaona wanawabania ndio maana unakuja na kauli za kuwaambia wengine nao wakalime.
Tafuta pesa acha malalamiko, hela huna wewe peke yako usiwajumuishe na wengine ili kujifariji, umaskini huchochea dhambi.Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Wenye njaa sababu ya kutaka mwingine anyang'anywe ili washibe huwa hawalalamiki ila wanashinikiza.Kote huko watu hulalamika na hutoa mapendekezo nini kifanyike ila mkiguswa nyie ndio mnakuja na kauli za kuwataka watu wote wawe wakulima.
Hapa sijaelewa. kilimo kinacho toa mavuno yanayo weza kutoa Cha kula chakaya, nakubakisha chakuuza , ni kilimo biashara.Kazi ya kilimo Ni sawa na kuwa Mwalimu unabidi kujitoa Sana malipo atalipa Mungu.
Kazi ya kilimo Ni sawa na kuwa Mwalimu unabidi kujitoa Sana malipo atalipa Mungu.
Hizo mboga za majani hakuna ni adimu,Watu wanabidi kula mchicha kwa wingi
Maharage sio mazuri zaidi kujamba kwa wingi
Wala usilime,tafuta mtaji msimu wa mavuno nunua kama umepagawaBEI IMEKUWA NZURI KWELI HAKIKA KILIMO SASA NI DILI TWENDENI TUKALIME TUJE KUFAIDI BEI HII NZURI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA.
N. B, badala ya kukiwahi kilimo, tufaidi tunalalama.
Umeshawahi kula wali maharage wewe? Au unaongea tu?
Umeuliza kwani lazima tule maharage?Swali lako linahusiana vipi na comment niliyoiweka?