Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Huyu ni mgonjwa unawezaje kuchanganya mavitu kama hayo tumbo moja?

Au wewe ni mzambia maana hao ukisafiri na Kwa bus utakoma,maana hao jamaa wanakula kuanzia Tunduma mpaka Dar
Si unajua Maskini akipata fursa?
Hapo ukute kapewa ofa na jamaa
 
Hahaha..sema redbull hapohapo Pepsi, mango juice,
haya swaga la diamond ni kitu gani mkuu mbona hujibu, au umecopy na kupaste na wewe huelewi!
 
Back
Top Bottom