Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

mkuu Pasco kama verification ndio inasubiriwa kwa nini mjadala usifungwe hadi pale utakapo kuja na verification? Tunaomba mjadala ufungwe. Over.
Cc Invisible,Paw,Fang,Moderator,Innovator,Max Mello.Mckee.

Mkuu Kimo, kweli ni aibu kwa wenye aibu, kwa sisi tusio na aibu, hoja imesimama, imejibiwa sasa inasubiri verification tuu!.

Pasco.
 
Pasco,

Ni nani atakayethibitisha kwamba katiba hii ni fake?

Maana katiba hii hii kabla haijawa katiba ilipitia kwa msajili, akaisoma akaipitisha.

Labda uniambie aliyeipitisha katiba ya CHADEMA akithibitika aliboronga apigwe risasi nitakuelewa.
CHADEMA kwa hili halina kosa. Kosa ni la aliyeipitisha kama kweli aliipitisha ikiwa hakina kipengele cha ukomo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu Mungi, slaa ameumaliza mjadala. Kapiga nyundo ya utosi kwa Pasco amemwacha na kizunguzungu cha kifo. Thread ifungwe tu hizo verification anazotaka Pasco aje mtaa wa ufipa aombe kuonana na Katibu mkuu atapewa.

Invisible
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi, slaa ameumaliza mjadala. Kapiga nyundo ya utosi kwa Pasco amemwacha na kizunguzungu cha kifo. Thread ifungwe tu hizo verification anazotaka Pasco aje mtaa wa ufipa aombe kuonana na Katibu mkuu atapewa. Invisible
Tuhuma zimetolewa kuwa katiba ya Chadema ni fake kwa sababu kipengele cha ukomo wa uongozi, kimenyofolewa kinyemela!.
Dr. Slaa akajibu sii kweli!, kwa vile yeye ni Chadema internal authority, tunasubiria independent verification kwa mwingine yeyote aliyekuwepo, au itoke kule ambako hizo katiba huwekwa kama public documents!. Hivi kumbe katiba ya Chadema ni adimu hivi?!, by now niliishategemea hizo katiba ziwe zimeishashushwa humu kitambo!.

Mtaa wa Ufipa, mimi huwa nakwenda na ninayemfuata pale sii mwingine ni Dr. Slaa, ila huenda issues za kitaifa zaidi na hizi kelele za mlango!.
Pasco.
 
Pasco
Kwani na wewe unalipa kodi?
Kuna watu wanapiga kelele za ruzuku wakati aidha ni wakwepaji wakubwa wa kodi au hawalipi kabisa..!
 
mkuu Pasco kama verification ndio inasubiriwa kwa nini mjadala usifungwe hadi pale utakapo kuja na verification? Tunaomba mjadala ufungwe. Over. Cc Invisible,Paw,Fang,Moderator,Innovator,Max Mello.Mckee.
Kama facts zote zipo right na unasubiriwa tuu uthibitisho wa hizo fact, kwa nini ufungwe kabla ya uthibitisho?!, ikitokea ikawa otherwise, itakuaje?, au ndio tufungue thread nyingine!.
Pascal.
 
Pasco
Kwani na wewe unalipa kodi?
Kuna watu wanapiga kelele za ruzuku wakati aidha ni wakwepaji wakubwa wa kodi au hawalipi kabisa..!
Mimi ni mlipa kodi mdogo kwa njia ya proxy kupitia huduma mbali mbali zenye kodi ikiwemo kununua mkate ule mkubwa wa sh.500, huuzwa 590!, ile shilingi 90 ndio kodi ambayo hupelekwa Chadema!.
 
sina swali nakupongeza dr slaa kwa kuja kuweka mambo sawa,maana maccm hayakosagi majungu,yanashindwa kufuatilia mapesa kule uswisi yanalialia na katiba ya chadema....! njaa mbaya jama
 
CHADEMA isingekuwepo hadi leo hii kama CCM isingeruhusu "matukio", siyo maneno yangu haya ni maneno ya Mwigamba.

Ndiyo maana kukikosekana "tukio" CHADEMA wanalazimisha "matukio".

Hili la kuchakachua katiba yao hata kama mtu awe na akili mbovu kiasi gani ataona CHADEMA inamatatizo makubwa sana.

Mwigamba ndo nani naye? hakuna kama cdm na nashauri akikutwa na hatia,avuliwe madaraka awe mwanachama wa kawaida,akiona hawezi atafute kichaka cha kukimbilia au arudi magambani.ni bora kuwa na jeshi la watu 10 watiifu kuliko kuwa na jeshi la watu milion mamluki.
 

Mkuu Dr. W. Slaa, kwanza, heshima yako!, maana ile kujibiwa tuu na mtu wa calibre yako pekee, ni heshima kwangu na kwa thread hii, hivyo majibu yako, nayaunganisha pale mbele ya thread as an authority.

Uwongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli. Sambamba na tuhuma hii, mtoa tuhuma pia ameweka tuhuma nyingine nyingi, zenye kuhitaji majibu ya kina kama haya uliyonijibu hapa.

Kwa vile CCM ndicho chama tawala, Chadema kiko kwenye mizani ya tukiaminie mwaka 2015 au bora kuendelea na CCM tuliyoizoea!, hivyo haya makando kando yoyote kuihusu Chadema, lazima yajibiwe ipasavyo kama hivi ulivyofanya hapa.

Asante sana kwa hili.

Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.

Nashukuru tena.

Pasco.


Dr.ametoa majibu kwenye hoja ya Msingi porojo zingine hazina maana hata kidogo na nikupoteza muda kuzijibu.
Mwenye akili wale haitaji kutafuta jibu maana suala la kueneza au kujenga chama ni mikakati ambayo ni watu wachache wanatakiwa kuisimamia na kuiendesha iliiweze kufanikwa.

Huwezi kuinambia kwanini CCM imemrejesha Mangula au Kwanini imempa nafasi ya Ukatibu Mkuu Kinana!

 


Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.

Nashukuru tena.

Pasco.



Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.
 
Wewe tunakujua ni opportunist huwezi kuisisifia chadema najua inaipenda sana chadema na hata kura yako ninaamini kwa asilimia 100 ni ya chadema! Tatizo najua ni njaa na kuogopa kung'olewa meno bila ganzi! Naamini unayo username nyingine humu ambayo huwa unaitumia kuiponda ccm! Endelea kula pesa zao mkuu lakini kura yako tunajua huwezi kuipeleka ccm sana sana unaweza kuacha kupiga kura!
 
Pasco

Uko kwenye mlengo tata usiotimilika, tafsiri ya unachokiota ni kinyume chake

pasco anasema anasimama katik ukweli wakati last week tu ameikiri kujoin them baada kushindwa kwake kuwa against cc mohamed mtoi nadhani unakumbuka maneno ya pasco
 
Last edited by a moderator:
Pasco Lowasa mamvi!
Wewe tunakujua ni opportunist huwezi kuisisifia chadema najua inaipenda sana chadema na hata kura yako ninaamini kwa asilimia 100 ni ya chadema! Tatizo najua ni njaa na kuogopa kung'olewa meno bila ganzi! Naamini unayo username nyingine humu ambayo huwa unaitumia kuiponda ccm! Endelea kula pesa zao mkuu lakini kura yako tunajua huwezi kuipeleka ccm sana sana unaweza kuacha kupiga kura!

pasco anasema anasimama katika
ukweli wakati last week tu ameikiri
kujoin them baada kushindwa kwake
kuwa against cc mohamed mtoi
nadhani unakumbuka maneno ya
pasco
 
Last edited by a moderator:
Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.

Wisdom!!!
 
Ndani ya cdm tunaendelea na mwenyeki yuleyule anaeweza kukaa mahabusu kwa ajili ya wtz sio hao mnaowafikilia.
 
Mkuu Mpaka Kiele, kwanza sina mawasiliano yoyote na kiongozi msimamishwa!.

Pili uongo hukanushwa na kuwa replaced na ukweli!, hizi ni tuhuma tuu na bado hazina uthibitisho, nasema na nasisitiza, ikithibitishwa!, Chadema is in trouble!.

Hili la kuletwa nyaraka ndizo hoja zangu, miniti za mikutano ni public documents, ziletwe tuumalize huu utata!.
Pasco.

Pasco,
nilikuwa ninakuheshimu sana lakini nimepoteza heshima yangu kwako zaidi ya mwaka mmoja uliopita na ninazidi kuamini kuwa nilifanya kitu cha maana kwa uamuzi wangu huo.

Sijawahi ona uandishi wa habari(are you a journalist by the way???) wa kipuuzi kama wakwako - unatoa allegations halafu unataka wengine ndio waje na nyaraka ili ufunge mjadala - I never knew that you're such a dumb!!!

Wewe ndio ulipaswa uje na vielelezo ili kuthibitisha tuhuma zako na kama ulikuwa hauna vielelezo ulikuwa hauna haja ya kuanzisha thread kwa maelezo " NIMEAMBIWA,NIMESIKIA...INASEMEKANA" mbona mnakuwa na akili kama za kikwete?? mna matatizo gani jamani - katika akili zako you're trying to emulate investigative journalism but instead of investigating and eventually discard balderdash source(s), you swallow and suck whatever nears your buccal cavity and you dispatch i to the general public as breaking news!! Do a favour to yourself and to your intelligence if you have any, Pasco, do not sell to us any kind of smoke and smoking stuff... we won't buy buy it!!

I think I have been explicit enough Mr. Pasco Mayalla mwandishi wa habari uchwalla!!!

Post Scriptum!!
Mwandishi wa habari uchwala kama wewe aliwahi kumuuliza swali Mwl Nyerere pale Jomo Kenyatta Intl. Airport kuwa kuna tuhuma Nyerere alikuwa anaunga mkono kikundi cha watu kilichokuwa na nia ya kuipindua serikali ya Kenya... Nyerere alimuangalia kwa jicho kali halafu akamwambia; kwa kuwa umeamua kuuliza hilo swali maana yake umeamini hizo tuhuma bila ya kufanya UTAFITI, akaendelea..Je mwanaume yeyote akija akakwambia mimi nimelala na mama yako yaani mimi ndiye Baba yako,UTAMWAMINI???

Kuna somo katika hayo maelezo ya Mwalimu ninahisi utakuwa umelielewa Mr. Mayalla!!!!
 
Ni application ya common sense tu.

Vizuri sana kijana Ben
watu wengi wasioitakia mema nchi yetu, wamekua wakisikia mambo kwa juu juu tu bila kufanya utafiti ndio maana leo hii ntu akiituhum chadema wanaamini tu sababu ya b7
 
Kama facts zote zipo right na unasubiriwa tuu uthibitisho wa hizo fact, kwa nini ufungwe kabla ya uthibitisho?!, ikitokea ikawa otherwise, itakuaje?, au ndio tufungue thread nyingine!.
Pascal.


Naomba Paw Invisible wakupe sitahiki yako kwa kuleta thread ya uwongo

Verification ikifanyika ndio ban yako iwe lifted

CC Pasco
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom