Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Hofu yangu ni hiyo mipaka unayotaka wewe kugeuka kikwazo kwa demokrasia. Wacha waongoze kama ndio utashi wa wanachama ambao ndio wenye chama so long as hakuna anayezuiliwa kuwa-challenge. Huko kwenye chama chenu kiongozi anatakiwa awepo kwa muda gani?!
hakuna demokrasia ya namna hiyo, huo ni mfumo wa kidkteta, tanzania hatuna mfumo wa kifalme, tulishaachana na utaratibu huo baada ya kupata uhuru, katika level ya kitaifa tunamfumo wa uchaguzi wa viongozi na kuna mipaka ya kufanya hivyo haiwezekani mtu ukatumika wewe peke yako milele, ni vyema kuwaachia na wengine.
 
Slaa sisi hatujalishwa unga wa ndere. Je kwanini kusiwe na ukomo wa uongoz? Je hii ndio demokrasia mnayopigia kerere kila siku? Slaa kumbuka sisi sio mazombi. Na ujipange uje utoe majibu sahii hapa sisi hatuna zidumu fikra...................
 
Nafasi ya Uenyekiti wa Chama mbona inawatoa watu jasho namna hii?Huku ni kuzunguka tu.....Hebu nendeni straight kwenye point.

Nadhani ikithibitika hivyo basi ofisi ya msajili nayo itabidi kuwajibika.Ni kwanini isemwe kipindi hiki na si wakati wowote?

kimtaa mtaa naona hizi ni vurugu za Masilia Waliosalia,prove me wrong
 
​Ili kukata ngebe za baadhi ya wachangiaji wa mada hii ni vema kipengele hicho cha katiba kikawekwa hapa jamvini!

hakuna hata mmoja aliyeweza,huyo Pasco pempelempe tu,ajabu amemnukuu Dr.Slaa akiomba ushahidi wa kifungu kilichochakachuliwa,lakini hakujipa hata mda wa kufanya utafiti.huyu jamaa kwa hela huyu
 
Pasco
Kwani na wewe unalipa kodi?
Kuna watu wanapiga kelele za ruzuku wakati aidha ni wakwepaji wakubwa wa kodi au hawalipi kabisa..!
Mimi ni mlipa kodi mdogo kwa njia ya proxy kupitia huduma mbali mbali zenye kodi ikiwemo kununua mkate ule mkubwa wa sh.500, huuzwa 590!, ile shilingi 90 ndio kodi ambayo hupelekwa Chadema!.
Pasco.
 
Mkuu Only 83, utafiti hufanywa na watafiti, mimi sio mtafiti ni just a reporter kuripoti nilichoona, kuambiwa au kusoma. Tuhuma hizi nimezisoma humu jf, nimeuliza, wahusika mamejibu tena kwa ufasaha, bado Pasco ni tatizo?.
Pasco.

Hapa ndio umedhihirisha udhaifu wako..hivi wewe kama kweli umesomea huo u-reporter unawezaje ukaripoti kitu ambacho ujakifanyia utafiti? Tumekuwa tunalia sana kuwa waandishi wetu waachane na hizi habari za udaku, sasa wafanyaje uandishi wa kiuchunguzi. Yaani tuwe watafiti, tukusanye taarifa za kutosha kabla ya kutoa habari hiyo. Wewe ulichofanya ni kukusanya vihabari vingi na vi-thread vingi ukatengeneza ka-thread kako ambako ni very weak na kanadhihirisha uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo au unafanya makusudi. Ila mimi nadhani ni udhaifu na uvivu wa kufikiri tu!!!
 
Nafasi ya Uenyekiti wa Chama mbona inawatoa watu jasho namna hii?Huku ni kuzunguka tu.....Hebu nendeni straight kwenye point.

Nadhani ikithibitika hivyo basi ofisi ya msajili nayo itabidi kuwajibika.Ni kwanini isemwe kipindi hiki na si wakati wowote?

hii move ni kama ilipangwa kitambo tushukuru mungu amewaweka wazi wahusika .
 
Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, tuhuma hizi zinaihusu Chadema, zimetolewa humu jf, wenye jukumu la kuzijibu with evidence ni Chadema, Katibu Mkuu, Dr. Slaa ameijibu but with shop talk only without any evidence!.

Kwa vile Dr, ni authority, nimeukubali utetezi wake nasubiri tuu verification!.

Sina haja ya kwenda kwa msajili wa ofisi za Chadema, kwa vile naamini jf ni think tank, na naamini wapo wenye katiba hizo zote mbili, naamini watakuja na hii issue itamalizika rasmi.

Hili la Chadema kutuhumiwa kuwa na katiba feki, halafu mpaka thread it hit 100 posts bila yoyote kuleta scanned coppy ya vipengele husika, leaves much to be desired!.

My opinion nyie watu makini wa Chadema mpo, na mnaujua ukweli, kwa vile umeishakanushwa na authority, mmeamua kujichimbia bila kuuleta humu to save his face!, its only a matter of time tuu, tutalimaliza hili, wala Jumatatu haitafika niamkie kwa msajili!.

Pasco
 
Hii post atakuwa ameandika Slaa mwenyewe sio Josephine Mushumbusi.

Post za Slaa utazijua tu jinsi zinavyojenga hoja.

Ushauri wa bure. Wakati mwingine uwe unajaribu kuonesha kuwa kichwa chako siyo tu cha kufugia nywele.
 
hakuna hata mmoja aliyeweza,huyo Pasco pempelempe tu,ajabu amemnukuu Dr.Slaa akiomba ushahidi wa kifungu kilichochakachuliwa,lakini hakujipa hata mda wa kufanya utafiti.huyu jamaa kwa hela huyu
Mwenye jukumu la kutoa ushahidi wa vinginevyo ni mtuhumiwa!, mimi sio mtuhumu ni ripota tuu!.
 
Hapa ndio umedhihirisha udhaifu wako..hivi wewe kama kweli umesomea huo u-reporter unawezaje ukaripoti kitu ambacho ujakifanyia utafiti? Tumekuwa tunalia sana kuwa waandishi wetu waachane na hizi habari za udaku, sasa wafanyaje uandishi wa kiuchunguzi. Yaani tuwe watafiti, tukusanye taarifa za kutosha kabla ya kutoa habari hiyo. Wewe ulichofanya ni kukusanya vihabari vingi na vi-thread vingi ukatengeneza ka-thread kako ambako ni very weak na kanadhihirisha uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo au unafanya makusudi. Ila mimi nadhani ni udhaifu na uvivu wa kufikiri tu!!!
Mkuu Only 83, kwanza nimekubali udhaifu, uriporter sikusomea!, hivi kuwa ripota hapa jf ni mpaka usemee?!.
Kazi ya kwanza ya mwandishi yoyote ni kuripoti tuu!, hilo la kufanya uchunguzi, linahitaji specialization na uwezo fulani ambao kwa bahati mbaya mimi sina!. Nimeikuta thread humu jf, nimeiripoti tuu kilichoelezwa!.
Hili la uwezo wangu mdogo wa kuchambua mambo, pia nalikubali kama nilivyokubali mimi mwandishi dhaifu mwenye uvivu wa kufikiri!.

Baada ya yote hayo, maadamu Chadema imetuhumiwa kwa katiba feki, Katibu Mkuu amekanusha sio feki, nasubiri basi hizo katiba, tuyamalize!.
Pasco.
 
Mwenye jukumu la kutoa ushahidi wa vinginevyo ni mtuhumiwa!, mimi sio mtuhumu ni ripota tuu!.
Pasco,
wewe ni mwanasheria na mwandishi wa habari,na binafsi nakuheshimu.
Swali, hivi humu mtandaoni nikisema Pasco gari alilo nalo ni mali yangu,je Sheria itahitaji wewe Pasco mtuhumiwa uoneshe evidence au Au mimi Ukwelikitugani nioneshe hati za umiliki?
Back to the topic:
Kwanini anayetuhumu asilete vielelezo vya Katiba feki ya Chadema?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ukwelikitugani, kwanza mimi sio mwanasheria, ila nimefuta tuu tongotongo za sheria kwa miaka 4 pale USDM!, kufuta tongotongo za sheria ni jambo moja na kuwa mwanasheria ni jambo jingine!.

Kisheria, the one who allege is the one who is supposed to prove!, kama ilivyo the burden of proof, lies with the prosecution!. Kwenye mada hii, mimi ni ripota tuu, sio mtuhumu wala mtuhumiwa!.

Chadema imetuhumiwa kuwasilisha kwa msajili katiba fake yenye kipengele kilichonyofolewa kinyemela!.
Katibu Mkuu kaja kusema si kweli, hakuna kipengele chochote kilichonyofolewa na hicho kinachodaiwa kunyofolewa, hakijawahi kuwepo!. Nimekubali bali nasubiri kwanza nione hizo katiba ndipo nijiridhishe!.
Kuna vitu vidogo tuu ambavyo sio issue kuubwa kihivyo, ili vikija kuthibitika ni kweli, mtashuhudia watu wakitafuta pa kutokea!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom