Mkuu Kimo, kweli ni aibu kwa wenye aibu, kwa sisi tusio na aibu, hoja imesimama, imejibiwa sasa inasubiri verification tuu!.
Pasco.
Pasco,
Ni nani atakayethibitisha kwamba katiba hii ni fake?
Maana katiba hii hii kabla haijawa katiba ilipitia kwa msajili, akaisoma akaipitisha.
Labda uniambie aliyeipitisha katiba ya CHADEMA akithibitika aliboronga apigwe risasi nitakuelewa.
CHADEMA kwa hili halina kosa. Kosa ni la aliyeipitisha kama kweli aliipitisha ikiwa hakina kipengele cha ukomo!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tuhuma zimetolewa kuwa katiba ya Chadema ni fake kwa sababu kipengele cha ukomo wa uongozi, kimenyofolewa kinyemela!.
Kama facts zote zipo right na unasubiriwa tuu uthibitisho wa hizo fact, kwa nini ufungwe kabla ya uthibitisho?!, ikitokea ikawa otherwise, itakuaje?, au ndio tufungue thread nyingine!.mkuu Pasco kama verification ndio inasubiriwa kwa nini mjadala usifungwe hadi pale utakapo kuja na verification? Tunaomba mjadala ufungwe. Over. Cc Invisible,Paw,Fang,Moderator,Innovator,Max Mello.Mckee.
Mimi ni mlipa kodi mdogo kwa njia ya proxy kupitia huduma mbali mbali zenye kodi ikiwemo kununua mkate ule mkubwa wa sh.500, huuzwa 590!, ile shilingi 90 ndio kodi ambayo hupelekwa Chadema!.Pasco
Kwani na wewe unalipa kodi?
Kuna watu wanapiga kelele za ruzuku wakati aidha ni wakwepaji wakubwa wa kodi au hawalipi kabisa..!
CHADEMA isingekuwepo hadi leo hii kama CCM isingeruhusu "matukio", siyo maneno yangu haya ni maneno ya Mwigamba.
Ndiyo maana kukikosekana "tukio" CHADEMA wanalazimisha "matukio".
Hili la kuchakachua katiba yao hata kama mtu awe na akili mbovu kiasi gani ataona CHADEMA inamatatizo makubwa sana.
Mkuu Dr. W. Slaa, kwanza, heshima yako!, maana ile kujibiwa tuu na mtu wa calibre yako pekee, ni heshima kwangu na kwa thread hii, hivyo majibu yako, nayaunganisha pale mbele ya thread as an authority.
Uwongo ukisemwa sana na kuachwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli. Sambamba na tuhuma hii, mtoa tuhuma pia ameweka tuhuma nyingine nyingi, zenye kuhitaji majibu ya kina kama haya uliyonijibu hapa.
Kwa vile CCM ndicho chama tawala, Chadema kiko kwenye mizani ya tukiaminie mwaka 2015 au bora kuendelea na CCM tuliyoizoea!, hivyo haya makando kando yoyote kuihusu Chadema, lazima yajibiwe ipasavyo kama hivi ulivyofanya hapa.
Asante sana kwa hili.
Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.
Nashukuru tena.
Pasco.
Kwa vile maelezo haya yako ni ya upande mmoja, nasubiri verification ya data toka kwa msajili, then niufunge rasmi huu mjadala.
Nashukuru tena.
Pasco.
Pasco
Uko kwenye mlengo tata usiotimilika, tafsiri ya unachokiota ni kinyume chake
Pasco Lowasa mamvi!
Wewe tunakujua ni opportunist huwezi kuisisifia chadema najua inaipenda sana chadema na hata kura yako ninaamini kwa asilimia 100 ni ya chadema! Tatizo najua ni njaa na kuogopa kung'olewa meno bila ganzi! Naamini unayo username nyingine humu ambayo huwa unaitumia kuiponda ccm! Endelea kula pesa zao mkuu lakini kura yako tunajua huwezi kuipeleka ccm sana sana unaweza kuacha kupiga kura!
Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.
Mkuu Mpaka Kiele, kwanza sina mawasiliano yoyote na kiongozi msimamishwa!.
Pili uongo hukanushwa na kuwa replaced na ukweli!, hizi ni tuhuma tuu na bado hazina uthibitisho, nasema na nasisitiza, ikithibitishwa!, Chadema is in trouble!.
Hili la kuletwa nyaraka ndizo hoja zangu, miniti za mikutano ni public documents, ziletwe tuumalize huu utata!.
Pasco.
Ni application ya common sense tu.
Kama facts zote zipo right na unasubiriwa tuu uthibitisho wa hizo fact, kwa nini ufungwe kabla ya uthibitisho?!, ikitokea ikawa otherwise, itakuaje?, au ndio tufungue thread nyingine!.
Pascal.