hakuna demokrasia ya namna hiyo, huo ni mfumo wa kidkteta, tanzania hatuna mfumo wa kifalme, tulishaachana na utaratibu huo baada ya kupata uhuru, katika level ya kitaifa tunamfumo wa uchaguzi wa viongozi na kuna mipaka ya kufanya hivyo haiwezekani mtu ukatumika wewe peke yako milele, ni vyema kuwaachia na wengine.Hofu yangu ni hiyo mipaka unayotaka wewe kugeuka kikwazo kwa demokrasia. Wacha waongoze kama ndio utashi wa wanachama ambao ndio wenye chama so long as hakuna anayezuiliwa kuwa-challenge. Huko kwenye chama chenu kiongozi anatakiwa awepo kwa muda gani?!
Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.
hawana mkuu ngoja tusubiri kama wataileta hapaTunaomba wenye soft copy ya katiba ya chadema watuwekee hapa!
Nafasi ya Uenyekiti wa Chama mbona inawatoa watu jasho namna hii?Huku ni kuzunguka tu.....Hebu nendeni straight kwenye point.
Nadhani ikithibitika hivyo basi ofisi ya msajili nayo itabidi kuwajibika.Ni kwanini isemwe kipindi hiki na si wakati wowote?
hawana mkuu ngoja tusubiri kama wataileta hapa
​Ili kukata ngebe za baadhi ya wachangiaji wa mada hii ni vema kipengele hicho cha katiba kikawekwa hapa jamvini!
Ngoja msubiri wewe na nani?
Katiba hii ilishaletwa humu.Jishughulishe sio kusubiri
jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/380617-katiba-ya-chadema.html
Pasco
Uko kwenye mlengo tata usiotimilika, tafsiri ya unachokiota ni kinyume chake
Mimi ni mlipa kodi mdogo kwa njia ya proxy kupitia huduma mbali mbali zenye kodi ikiwemo kununua mkate ule mkubwa wa sh.500, huuzwa 590!, ile shilingi 90 ndio kodi ambayo hupelekwa Chadema!.Pasco
Kwani na wewe unalipa kodi?
Kuna watu wanapiga kelele za ruzuku wakati aidha ni wakwepaji wakubwa wa kodi au hawalipi kabisa..!
Pasco nakujua wewe ni mtu wa kukurupuka mara nyingi hauko serious,
huwa unaendeshwa zaidi na matukio kuliko issues.
Katiba feki uijue wewe zaidi ya Msajili wa vyama.
Mkuu Only 83, utafiti hufanywa na watafiti, mimi sio mtafiti ni just a reporter kuripoti nilichoona, kuambiwa au kusoma. Tuhuma hizi nimezisoma humu jf, nimeuliza, wahusika mamejibu tena kwa ufasaha, bado Pasco ni tatizo?.
Pasco.
Nafasi ya Uenyekiti wa Chama mbona inawatoa watu jasho namna hii?Huku ni kuzunguka tu.....Hebu nendeni straight kwenye point.
Nadhani ikithibitika hivyo basi ofisi ya msajili nayo itabidi kuwajibika.Ni kwanini isemwe kipindi hiki na si wakati wowote?
Mkuu Mzee Mwanakijiji, tuhuma hizi zinaihusu Chadema, zimetolewa humu jf, wenye jukumu la kuzijibu with evidence ni Chadema, Katibu Mkuu, Dr. Slaa ameijibu but with shop talk only without any evidence!.Pasco pick up the challenge; wewe ni mwandishi wa habari usikaeusubiri. Nenda kwa msajili uombe kuona nakala za katiba hizo; na ikibidi muombe Dr. Slaa akuoneshe miniti za vikao vinavyodaiwa. Halafu ujenge hoja nani anasema kweli. Hapa utatendea jahazi hisani kubwa ya kisomi.
Hii post atakuwa ameandika Slaa mwenyewe sio Josephine Mushumbusi.
Post za Slaa utazijua tu jinsi zinavyojenga hoja.
Mwenye jukumu la kutoa ushahidi wa vinginevyo ni mtuhumiwa!, mimi sio mtuhumu ni ripota tuu!.hakuna hata mmoja aliyeweza,huyo Pasco pempelempe tu,ajabu amemnukuu Dr.Slaa akiomba ushahidi wa kifungu kilichochakachuliwa,lakini hakujipa hata mda wa kufanya utafiti.huyu jamaa kwa hela huyu
Mkuu Only 83, kwanza nimekubali udhaifu, uriporter sikusomea!, hivi kuwa ripota hapa jf ni mpaka usemee?!.Hapa ndio umedhihirisha udhaifu wako..hivi wewe kama kweli umesomea huo u-reporter unawezaje ukaripoti kitu ambacho ujakifanyia utafiti? Tumekuwa tunalia sana kuwa waandishi wetu waachane na hizi habari za udaku, sasa wafanyaje uandishi wa kiuchunguzi. Yaani tuwe watafiti, tukusanye taarifa za kutosha kabla ya kutoa habari hiyo. Wewe ulichofanya ni kukusanya vihabari vingi na vi-thread vingi ukatengeneza ka-thread kako ambako ni very weak na kanadhihirisha uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo au unafanya makusudi. Ila mimi nadhani ni udhaifu na uvivu wa kufikiri tu!!!
Pasco,Mwenye jukumu la kutoa ushahidi wa vinginevyo ni mtuhumiwa!, mimi sio mtuhumu ni ripota tuu!.
Mkuu Ungonella wa ukweli, hiki ndicho ninachosubiri!.PascoTunaomba wenye soft copy ya katiba ya chadema watuwekee hapa!
Mkuu Ukwelikitugani, kwanza mimi sio mwanasheria, ila nimefuta tuu tongotongo za sheria kwa miaka 4 pale USDM!, kufuta tongotongo za sheria ni jambo moja na kuwa mwanasheria ni jambo jingine!.Pasco,
wewe ni mwanasheria na mwandishi wa habari,na binafsi nakuheshimu.
Swali, hivi humu mtandaoni nikisema Pasco gari alilo nalo ni mali yangu,je Sheria itahitaji wewe Pasco mtuhumiwa uoneshe evidence au Au mimi Ukwelikitugani nioneshe hati za umiliki?
Back to the topic:
Kwanini anayetuhumu asilete vielelezo vya Katiba feki ya Chadema?