TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Ntajikita kwenye uzushi ambao hauna source?Kwenye habari yako unataja mwandishi, mwandishi wa nini?Nijadili nini?hapo kuna hoja gani?utumbo huu unaita hoja?kwa hiyo kila kinachoandikwa hapa ni hoja ama?
Mbona povu linakutoka hivyo.Hiyo ripoti ishughulikieni mnauchukia ukweli.JF ni chanzo kikubwa cha habari.
 
Lumumba timu mko vizuri haswa duh


Poleni kama mnataka kuzima nguvu ya chadema kwa mfumo huo mmefeli sana tumeziba masikio
Usikaze shingo kwa mambo ya msingi.Ukweli mara nyingi huchukiwa.
 
Mbona povu linakutoka hivyo.Hiyo ripoti ishughulikieni mnauchukia ukweli.JF ni chanzo kikubwa cha habari.
Kwa hiyo mwandishi wa JF ndie aliye mpigia simu Mwenyekiti wa CHADEMA na ndie aliyeandika hii habari, kwa maana hiyo Mwandishi wa Habari ndio wewe wa JF?ungeandika basi source ni JF , huu uzushi wako umeandika kimakosa yaani umechemka, maswali yako na contents havina kabisa uhusiano na nashangaa mpaka sasa moderators hawajaona huu uchafu na kuufutilia mbali?Suala ni ruzuku lakini habari yako imejaa mambo mengine ambayo hayana uhusiano kabisa na ubadirifu wa ruzuku na ndio maana ulichoandika kinaonekana hakina tofauti na kinyesi
 
Hilo suala la evidence lielekeze kwa mleta uzi. Nyinyi mnapewa fedha nyingi halafu bado makao makuu ya chama chenu ni yale ya Ufipa!, fedha yote mnayopewa na wazungu haifanani na zile ofisi zenu, nyinyi wapigaji. Mbwembwe nyingi lakini mahesabu ya chama hayafahamiki kwa CAG. Mkipewa nchi mtafanya mangapi machafu!!. Hao kina Lugumi na mengine hata nyinyi mnaweza kuwa nayo ikiwa mtapewa nchi, ushahidiupo wazi kabisa.
 
Unachekesha dogo..kwani wewe una maslahi gani hapo CHADEMA?..au wewe ni Mbowe manake umechafukwa roho kwa haya mambo kuwa wazi?
 
Tatizo tutajuane kama tunajenga hoja na wenye akili timamu,huenda mshapiga viroba,bange na unga!Ndugai anasema vifaa vitawekwa,kweli mna hali mbaya
Dogo unalialia...huo ndio ukweli toka ndani ya chama.
 
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!
 
Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
Alokwambia CAG amewah kagua hesabu za vyama vya siasa ni nan au ushapata kiroba cha asubuhi
 
Kama ungekuwa una akili hata ya kuazima kwa nini ushadadie habari ambayo credibility yake inatia shaka? Ufanisi wa chama unatokana na uzuri wa majengo yake? Ndiyo maana Juha wewe nimekwambia tupe mapato na matumizi ya chadema ili tulinganishe kwa kazi wanayofanya hailingani na mapato, what is the base of your accusation?
Je mahesabu ya CCM yanafahamika kwa CAG? Kwa nini nyinyi walamba miguu mko very low kichwani? Hebu acheni kujikomba vyeo havipatikani kihivyo wapuuzi nyie
 
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!
Waulize waliolalamika dogo.Je ni kina nani waligombea Mbeya na kukosa.Wanalalamika mgombea kulipwa mamilioni wakati hata wao walitumia pesa zao lakini hawalipwi.
 


KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…