TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Hawa jamaa ukitaka kuelewana nao, usiwakosoe.
Swali nini kwanini hesabu zao hawjapeleka kwa ukaguzi wa CAG?
Utawasikia mbona CCM hawjapeleka hesabu zao?, kweli huo ndo utetezi kwa mwenye akili timamu? Hovyooo!
Pesa chenji ya kampeni toka China na Michango ya wafanyabiashara na Ruzuku yote ya ccm imeliwa na wajanja hadi wameshindwa kufanya mkutano mkuu, sasa wanajidai kumtuma Lizabon huko Uvunguni kwa Lugumi alete uzushi huu hapa.
 
Chadema ni chama cha kitaifa cha watanzania, Ruzuku inatoka kwenye mapato ya watanzania. Lazima tuone uchungu kama hizi tetesi zinazowekeza ukweli. Kitu muhimu hapa kuhakikisha ukweli wa hizi habari.
Watafuna Ruzuku ya ccm ndiyo wameandaa Huu uzushi ili watu wasahau kuwakumbusha jinsi pesa za miladi ya ccm Viwanja wa soka parking na Michango ya wanachama zinavyoliwa kifisadi.
 
Antony komu mkurugenzi wa chadema anamiliki mapori makubwa bagamoyo pesa za chama kaziingiza kwenye miradi yake binafsi
Mapori makubwa yanahusiana nini na matumizi mabaya ya ruzuku mbona hatujaona hili kwenye mada kuu na je amaingiza kiasi gani na lini?
 
Mapori makubwa yanahusiana nini na matumizi mabaya ya ruzuku mbona hatujaona hili kwenye mada kuu na je amaingiza kiasi gani na lini?
kawamaliza Tembo wote mbugani wakisikia Kinana anakuja wanatamani kuhamia india watembee Mtaani.
 
Ina maana vijana bado mnaleta hoja za nadharia kipindi hiki cha Serikali ya awamu ya TANO,uwajibikaji kwa sasa ndio dill braa braa hazina mashiko tena!Labda kama ni sehemu ya ajira kufanya hivyo humu ndani sawa watu waendelee kuweka nyuzi zao zenye sura za chuki!
 


Wadanganye Lumumba wenzako maana hii ni Pumba talking.

Beyond miss use unaweza ukawa kichaa, kwani unaandika uongo uliolaaniwa, haiwezekani 200 M kila mwezi zika ibiwa CAG na taasisi zingine zisijue.

Kachukue buku7 yako, ukojoe ukalale na kudanganya Pumba Talking wenzako.
 
Hawa jamaa ukitaka kuelewana nao, usiwakosoe.
Swali nini kwanini hesabu zao hawjapeleka kwa ukaguzi wa CAG?
Utawasikia mbona CCM hawjapeleka hesabu zao?, kweli huo ndo utetezi kwa mwenye akili timamu? Hovyooo!
Wamefundishwa siasa za jazba.
 
Huyo ni Lizabon yupo Uvunguni nyumbani kwa Lugumi kajificha akiogopa kudakwa na kitwanga ambaye anamdai mapesa yake ya utetezi kwenye Mitandao.
Jikite kwenye hoja udaku hautakusaidia.
 
Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
CAG analionaje wakati aliyewasilisha ripoti ya matumizi ya fedha ni ACT wazalendo peke yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…