TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

He uhamishe mil 200 halafu uwalipeje wstumixji w chama? Shughuli nuingine zote si zitasimsma? Au siku hizi ruzuku ya chadema imefikia bilioni? Hii story yako umekosea kidogo utunzi! Next time uwe makini ili tukuamini.
 
Huna taarifa sahihi.
 
Vielelezo aliweka Kubenea kuhalalisha uhusika wa EL kwenye Richmond akavikana.Habari inapotoka wengi hukimbilia kusema uzushi ila taratibu utaelewa.
Kubenea mzee wa shanga naona siku hizi vijalida vyake vinadoda,maana yeye ndiyo alikuwa anakomaa na Lowassa lakini ghafra akarudia matapishi yake.
 
Kiwewe cha kushindwa ubunge bado kinakusumbua. Sasa kama uliacha Nazi serikalini ni wapinawapi na ruzuku ya CHADEMA
Acha uzushi utaharibu chama cha watanzania .Rudi ulipotika usijifanye kusongola mdomo kwa usiyoyajua.

Nashauli Secretariat pale ofisini mtambueni huyu jamaa na mumweke mbali na ofisi

Eti ulitumia pesa zako huna hata aibu. Tulikutuma?

Sisi wenyewe tulishiriki kugombea na bado tuna imani na viongozi, acha kutuwangia.
 
Sahizi watapig sana hela wale majamaa. Maana Mkuu wa chama ndo mkuu wa ufisadi wa Taifa.

Sasa sipati picha huku Mbowe kule Lowassa kama mkuu wa chama.
 
Kwanini unafuatilia.Jibu hoja usilielie!
WAHUSIKA NDIO WATAJIBU HOJA HIZO, SIE MASHABIKI WA NJE tusiojua vya ndani KUONGELEA UDAKU HUO itakuwa sawa na kuendekeza HABARI ZA UZUSHI. Kama ni kweli itajulikana na kama ni UZUSHI WENYEWE WATAKANUSHA, HAKUNA HAJA YA KUBISHANA NA WASIOELEWA LOLOTE
 
Mimi nimeleta ripoti kama ilivyo,wewe unalialia.Jikite kwenye hoja.
Atajikita kwenye hoja vipi wakati ni udaku, we vipi. Unachotakiwa sasa kaa usubiri wahusika wajibu, SIO KULAZIMISHA MAJIBU KWA WASIOJUA KITU. Ulivyokuwa na akili ndefu, utaniambia na mimi nijikite kwenye HOJA! nYAMBAFU
 
NA kuwashitaki mmeshindwa nyie mafisiem
Tutawashitaki vipi wakati ninyi mmegeuka watetezi. Wote mliwatuhumu sasa mmewakumbatia. Mnatumia mihela na wanasheria wenu kuona tu wezi wanakuwa salama.

na hii imetokana na fungu la aibu la mwaka jana.
 
Ndio maana watu kama Ben Saanane hawapewi uongozi,hawawezi kukubali ufisadi kama huu.
Chadema wanataka watu wepesi kama kina mwalimu,nimemuona yupo monduli anataka kupasua mishipa ya shingo
Portfolio yake ni zanzbar,anatakiwa akiimarishe chama huko,monduli anafuata nini kama si uroho wa posho
 
..... ila kweli chadema ni tishio la magamba, yaani misukule ya lumumba huwezi kuiona inaongelea ruzuku ya chama chao wala cuf wala nccr ni chadema tu.......... mtanyooka tu mwaka huu.... sisi tunasema wale zote wamalize ni hatuitaki ccm PERIOD
 
Viongozi wa ngazi za kanda mikoa na majimbo wasipoacha unafiki siku zote ruzuku itaishia kwa wahuni wachache.Tatizo ni kwamba tunapokuwa wenyewe mnasema mambo mengi ila mbele za watu mmejaa unafiki kupindukia.
 
WAHUSIKA NDIO WATAJIBU HOJA HIZO, SIE MASHABIKI WA NJE tusiojua vya ndani KUONGELEA UDAKU HUO itakuwa sawa na kuendekeza HABARI ZA UZUSHI. Kama ni kweli itajulikana na kama ni UZUSHI WENYEWE WATAKANUSHA, HAKUNA HAJA YA KUBISHANA NA WASIOELEWA LOLOTE
Tusubiri.
 
Mnaleta mada za kutoa watu KWENYE mstari ehh, acheni hizo toeni boriti ndani ya jicho kabla ya kuona kibanzi kwa wengine. Je CCM mwenyekiti aliahirisha tarehe ya kumkabidhi JPM kisa pesa mbona hamkuandika na ccm ndio Wana ruzuku kubwa? Kumbukeni uchaguzi mkuu umeisha miezi 6 tu ILIYOPITA, na VYAMA VYETU vimetumia pesa nyingi sana, hivyo madeni nayo ni mkubwa sana, acheni majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…