mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Sasa sio kibali cha kuua raia inchi inaongozwa kwa sheria...inabidi kuwe tofauti ya JWTZ na HamasNasikia wameua afisa mkuu wa jeshi.....classified info jeshi hawatajibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sio kibali cha kuua raia inchi inaongozwa kwa sheria...inabidi kuwe tofauti ya JWTZ na HamasNasikia wameua afisa mkuu wa jeshi.....classified info jeshi hawatajibu
Ndo ilivyokuwa mkuu. Sema haya majamaa yanajifanyaga mamungu watu.
Yani yenyewe hayakosei ila sisi raia ndo tunakosea.
Vyote kwa pamoja mkuu.Tuhuma au wamekong'otwa?
Kweli mkuu umempa ushauri mzuri.Usifurahie hali ya jeshi kugombana na raia, watakuja kuzalishwa Majasusi wa hatari kutoka uraiani, Jasusi unacheka nae,unakula nae kumbe yuko kwa mission!!
Nimeandika ujinga kivipi mkuu na wakati umeshasema hao sojaz wenyewe hawafikirii vizuri?Mtoa maada umeandika ujinga pia waao changia. Hawafikiri vizur. Hakuna sababu yeyote inayo kupa haki ya kuu.huo ni uasi
Perfect mkuu 👍Sheria za nchi zifuatwe na wahusika wachukuliwe hatua.
Kweli mkuu, nchi ina sheria, nchi ina mahakama na wanasheria wa kusimamia sheria.Sasa sio kibali cha kuua raia inchi inaongozwa kwa sheria...inabidi kuwe tofauti ya JWTZ na Hamas
Sawa......JF inasomwa na kila MTU....mark my word hamtaachwa salamaHiyo haiwasaidii hata. haimanishi wakizingua mmoja mmoja huku kitaa wataachwa, kisu mkunjo kitawahusu
Afrika siyo sehemu ya kuendekeza saaana kufuata Sheria.....Ni kipigo tuu....Sasa wewe mwanao mnyime kipigo ufuate sheria.Kweli mkuu, nchi ina sheria, nchi ina mahakama na wanasheria wa kusimamia sheria.
Hivyo hao sojaz walitakiwa wafuate sheria, badala ya kupiga watu hovyo na kujichukulia sheria mkononi.
That's murderous at highest order....anyway utashangaa wamepandisha vyeo kesho ...tunaongozwa na lichama chakavuKweli mkuu, nchi ina sheria, nchi ina mahakama na wanasheria wa kusimamia sheria.
Hivyo hao sojaz walitakiwa wafuate sheria, badala ya kupiga watu hovyo na kujichukulia sheria mkononi.
Acha ujinga kijana JWTZ haijasomea mambo ya policing ila poa tu ...lichama chakavu limegandisha akili ya vijana wengi ...mfano wewe mavi ya pusiMimi naomba kazi ya kutokomeza vibaka waachiwe JWTZ......Mtaa ambao unavibaka wakabidhiwe JWTZ....tandaza kichapo
Kikwete alikemea na alifanikiwa kumaliza uhuni huu.Sahau kama kuna waziri au hata Rais wa nchi anayeweza kujitokeza hadharani akalikemea jeshi. Siyo Tanzania tu, dunia nzima.
Sana watakaa chini na wakuu wa jeshi, yamalizwe kidiplomasia. Usiwe na wasiwasi.
Tatizo wanapiga watu ambao hawakuwepo na wengine hawafahamu kilichotokea.Afrika siyo sehemu ya kuendekeza saaana kufuata Sheria.....Ni kipigo tuu....Sasa wewe mwanao mnyime kipigo ufuate sheria.
Raia za Afrika wakati mwingine wanaelewa kwa kipigo
Hata Husein Mwinyi aliweza kusimamia nidhamu kwa jeshi enzi zake alipokuwa waziri wa ulinzi.Kikwete alikemea na alifanikiwa kumaliza uhuni huu.
Magufuli alikuta jeshi lenye nidhamu akaendeleza alipo achia Mwamba Kikwete.
Tunayasikia sasa yanajirudia mambo ya awamu ya Mkapa kurudi miaka ya nyuma.
Pole sana,Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa ajili ya kumlinda, na kumpigania mwananchi wa Tanzania.
Lakini pia liliundwa kwa ajili ya kuilinda mipaka ya Tanzania, pamoja na viongozi wa Tanzania akiwemo raisi wa nchi (ambae ni amiri jeshi wao mkuu) mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine mbali mbali. Hilo ndio lilikuwa lengo la kuundwa kwa jeshi hilo, lkn pia kupewa jina hilo (JWTZ)
Sasa inashangaza sana jeshi ambalo lingewalinda na kuwapigania wananchi, ndio linageuka kuwa jeshi la kuwapiga hovyo wananchi, kuwatesa wananchi na hata wengine kuwauwa wananchi bila sababu za msingi.
Yes tunajua kwamba kila binadamu ana mapungufu yake, hivyo wapo wananchi wanaofanya makosa, au mambo mabaya kwa jeshi letu. Lakini kuna sheria na mahakama ambavyo vinaweza kutumika kuwaadhifu wale wanaofanya mambo mabaya kwa jeshi letu, na sio jeshi hilo kukimbilia tu kujichukulia sheria mkononi mpaka kupelekea maafa kama yaliotokea Kawe na kwengineko.
Malalamiko ya wananchi au raia dhidi ya jeshi hayakuanza leo, ila cha kushangaza badala ya kumalizwa kwa njia ya amani, ndio yanazidi kuongezeka kwa njia za kuchochewa na jeshi hilo hilo lililopewa dhamana ya kutulinda.
Kwa kilichotokea juzi huko Kawe, nafikiri viongozi wengi wa kiserikali wanalifahamu, lkn kwa vile pengine sio wahusika wakuu wa maswala ya kiusalama ndio maana hawahitaji kuliingilia swala hili.
Hivyo sisi wananchi tunamuomba waziri husika wa ulinzi mama yetu Stergomena Tax, pamoja na waziri wa mambo ya ndani brother Masauni waingilie kati swala hili kwa kuonya, kulaani na kutolea maelezo swala husika.
Msingoje mpaka raisi aje kulizungumzia mwenyewe, na wakati nyinyi kama mawaziri mmepewa dhamana ya kutulinda.
Kwa niaba ya wananchi wanyonge, ni mimi mpigania haki zao Mr Dudumizi wa somewhere in Kawe.
Hivi unajua walipigwa vibaya hata wapita njia mitaani wasiojua kilichotokea huko baa, tena wengine akina mama? Je, hiyo ni sawa?Wewe umefurahia nini yeye kupoteza maisha?
We dogo, acha kuleta utani kwenye mambo serious basiPole sana,
Nimesikitishwa sana na taarrifa hizi, nimefedheheshwa sana na askari wetu kwa hatua walizochukua dhidi ya raia huko kawe.
Naomba utulivu na subiira kidogo ili kujiridhisha na hatimae, niwahakikishie, hatua kali stahiki za kijeshi zitachukuliwa dhidi ya wote watakao thibitika kushiriki aibu hii...
Naunga mkono hoja hii kila mmoja asimame kwenye nafasi yake.Askari wa Jeshi la Wananchi waheshimu Raia kwani ndio walipaji wa mishahara yao, hali kdhalika Wananchi wawaheshimu Askari wa Jeshi LETU la Wananchi kwani ndio walinzi wetu wa Mipaka na HESHIMA ya TAIFA letu.