Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Nani anatafutiwa
Nani anatafutiwa kutendewa haki hapa?!...Mfanyabiashara, Kikwete au JPM?
 
Kabendera sio mjinga aongee hovyo, yeye binafsi kataabika sana na madhila ya yule Malaika mwovu, pia anajua aliotaabika nao though hawataki kutoka front, mtu gani suala la kuhojiwa tu elimu leo hatupo na ndugu yetu Saanane hapa, je ni wangapi tusiowajua ambao leo ndugu zao wamebaki na majonzi?
Bwana yule kumtetea ni kujitia kwenye majaribu, acheni watu waseme.
 
Rais mstaafu ana ofisi inayogharamiwa kwa fedha za walipa kodi. Tusubiri, watatoa ufafanuzi kama wataona haja ya kufanya hivyo.
Lakini ni muhimu waone haja ya kufanya hivyo ili kuepuka taharuki kwa umma na kusababisha migongano ya kimya kimya ndani ya chama na serikali.
 
Yaani Magufuli asiwakamate wepesi kama kina Nape, Makamba, Kinana na Membe, akamkamate Rais mstaafu? Watanzania tuache kuamini chai. Tuwe na strong reasoning.
 
Nafikiri ndio maana Mungu alimchukua mapema ili tamaa yake isije umiza wengi.

Hiyo Sio namna ya Mungu. Paul Biya Museveni na wengine wakutosha mbona wapo? Mungu ni mwema sana na watu waovu hupata always extra time katika maisha ili kumrudia. That’s the God we know. We huyo wako Ni wa kichwani kwako.
 
Story za kihuni wewe unazisoma vp?
 
Kumbuka Jiwe alikuwa hafati sheria wala katiba
 
Wewe ni Mpuuzi, ulimuuza kabendera. Karma will pay you, trust me!
We dogo, Amon Lisa, heshima ni kitu cha bure!, mimi naweza kuwa ni baba yako wa kukuzaa!, sio heshima kunitukana mpuuzi!.

Wakati wewe unajiunga jf, ile 2018, wenzako tumekutangulia more than 10 years!, hivyo kuna vitu we dogo mbangaizaji, hivijui!.

Sasa kwa kukusaidia wewe na majuha wengine kama wewe, humu jf, mimi ndio mwalimu mkuu wa somo la karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! hivyo kama ni kweli mimi ndio chanzo na kisababishi cha madhila yaliyomkuta, then for sure karma yangu itakuwa ipo tuu na haikwepeki!.

Ila kama sio mimi na sihisiki, utaendelea kunishuhudia tuu humu jinsi ninavyoendelea kudunda na kuchanua.
P
 
Bila ya mkono wa Mungu kuingilia mpaka kufikia sasa hali ingekuwa mbaya sana sana.
 
Smear campaign dhidi ya Magufuli ilishakataliwa na Watanzania. Hamuelewi tu?
 
Kama Bado unaamini JPM alikuwa mzalendo
JPM alikuwa mwizi,muongo,kibaka,sasa tumejua zile tilioni 360!,ilikuwa kanyaboya tu,sasa vipi kuhusu watu walioteswa,kupoteza maisha,kufungwa?
 
JPM alikuwa mwizi,muongo,kibaka,sasa tumejua zile tilioni 360!,ilikuwa kanyaboya tu,sasa vipi kuhusu watu walioteswa,kupoteza maisha,kufungwa?

Mkuu agiza mtori nakuja kulipa.😁
 
Hv we unamchukuliaje mtu km Rais? Unlike upuuzi wako are kujibu.
 
Kwanini hakumtaja huyo mfanyabiashara km ameweza kumtaja mtu mkubwa km rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…