Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Adolph Hitler, Benito Mussolini, Iddi Amini, Mobutu Seseseko
Adolph Hitler dunia nzima inamjua, sasa huyo Mwendazake anavunja rikodi gani ya Hitler mtu ambaye alikuwa anavamia hadi nchi zengine ndio wa kumfananisha na Mwendazake?
 
Adolph Hitler dunia nzima inamjua, sasa huyo Mwendazake anavunja rikodi gani ya Hitler mtu ambaye alikuwa anavamia hadi nchi zengine ndio wa kumfananisha na Mwendazake?
Hata huyu dunia itamjua tu, sisi tunaendeleza advocacy !! Hawana tofauti zaidi ya idadi tu ya watu waliowaua. Na kama Mungu asingeingilia kati huyu angeua wengi kuliko Hitler
 
Wewe achana na JK!! Humjui unamsikia tu. Unataka JK aseme ndiyo?? Halafu maisha ya Erick whether ni magumu sasa kama unavyodhania wewe je inakuhusu nini?

Wapumbavu wakubwa bado mnalitetea dubwasha liliharibu nchi yetu hadi Mungu alivyoamua. Kama mnalipenda fuateni ushauri wa Zitto Kabwe, kufa mkazikwe naye pale Chato
 
Hata huyu dunia itamjua tu, sisi tunaendeleza advocacy !! Hawana tofauti zaidi ya idadi tu ya watu waliowaua. Na kama Mungu asingeingilia kati huyu angeua wengi kuliko Hitler
Mkuu nakwambia Hitler dunia nzima walimjua kwa aliyokuwa anafanya na ndio maana hadi leo anajulikana, sasa kama Mwendazake amevunja rikodi ya Hitler halafu dunia haijui basi ni ajabu kwa sababu hata hayo ya Mwendazake uliyoyataja hayafikii hata robo ya Hitler.
 
Hiyo Sio namna ya Mungu. Paul Biya Museveni na wengine wakutosha mbona wapo? Mungu ni mwema sana na watu waovu hupata always extra time katika maisha ili kumrudia. That’s the God we know. We huyo wako Ni wa kichwani kwako.
Huyo wa kwako kwa kipindi kifupi tu kafanya ukatili mkubwa kuliko hata hao wengine iliyowataka.
 
Tuhuma za Kabendera ni ukweli mtupu.
 
Watanzania wapi, wale aliowapora uchaguzi ili atangazwe mshindi kwa shuruti?
Ila Mkuu mbona miaka yote ccm lazima iingie tu Ikulu kitu ambacho hakiitaji hata kusubiri matokeo ya uchaguzi, au uchaguzi wa 2020 ccm haikuwepo?
 
Ila Mkuu mbona miaka yote ccm lazima iingie tu Ikulu kitu ambacho hakiitaji hata kusubiri matokeo ya uchaguzi, au uchaguzi wa 2020 ccm haikuwepo?
Sababu za kihistoria zilizobeba CCM huko nyuma, ila tokea uchaguzi wa 2010 kizazi kilichoibeba CCM kiliisha. Kwa sasa vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi tu ndio nguzo yao.
 
Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Katika viongozi walioharibu nchi hii basi Jk wa Pwani anaweza kuwa kinara ni vile ameweza kucheza na akili za wabongo kiasi kwamba wanamuona kama vile mtu poa sana.
 
Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Alipoingia Samia walianza kukanusha kuwa miradi yetu haijengwi na pesa za kodi bali mikopo, lakini wiki iliyopita Samia kwa mdomo wake mwenyewe alitamka kuwa miradi ya nchi inagharimiwa na kodi za wananchi. Mwanzoni walisema kodi nyongi za Magufuli zinarudisha nyuma maendeleo, lakini baada ya muda kidogo wakaleta kodi ambazo zinalipwa na kila mtu isipokuwa viongozi wa serkali ili kutudanganya siyo kodi wakaziita TOZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…