Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

Wata

Watanzania we waache tu, hawana jema hata kidogo.
Hawajui lipi wanataka.
Jk alisema majina anayo na hakutaja wakawa wanamlazimisha ataje.
Walipotajwa ikaonekana wanaonewa ni mambo ya kisiasa.
sio kwamba visa vilipunguoa bali walibaki kwenyye ulingo wenye ruhusa ya mwenda zake. 2018 CIA walitoa ripoti kuwa Dar es Salaam ni Hub y madawa kwenye ukanda wa afrika mashariki.Yalitoka wapi? Makonda alitajwa
 
Nafikiri sasa ni wakati wa watu waliochafuliwa na Makonda kama ma-Drugs Dealers wamsukume mahakamani (otherwise awe na kinga) ili liwe funzo kwa viongozi wengine wenye tabia za ki-Makonda.
Kwanza wawatoe magerezani.
Hadi muda huu wapo watu miaka mitano ndani,
Wengine washahukumiwa kwa kesi za kusingiziwa..
Ushahidi grams 250..
Ni wakati sasa wa wajumbe wa nyumba kumi kuongea ukwl mahakani..

Kama ni kwl wanauza kwann wasiwakamate on the scene hata waunde fake drama ?
 
Nchi hii inefitinika sana....

Leo waliosapoti, kesho haohao wanapinga..

Makonda aliitwa shujaa na haohao wanaomuita Mzinguaji leo.... Sisiemu wanafiki sana..
 
Wata

Watanzania we waache tu, hawana jema hata kidogo.
Hawajui lipi wanataka.
Jk alisema majina anayo na hakutaja wakawa wanamlazimisha ataje.
Walipotajwa ikaonekana wanaonewa ni mambo ya kisiasa.
Kweli kabisa, hii dunia haina wema hata kidogo, JK alitukanwa kwa kuficha majina , makonda aka JPM aliweka hadhalani hayo majina leo makonda AKA JPM anaonekana hafai. Lakini biashara ulipungua sana Sana, vijana wengi walikuwa na hali mbaya kiafya kila leo tulikuwa tunasikia wanapelekwa soba house. Hivi kweli huyu mkurugenzi anaweza kuwashika kingpin wa dawa za kulevya kama akipewa tonge mdomoni.
 
Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.

Alienda mbali na kusema wao kama serikali hawawezi kukutaja hadaharani hivyo bila kuwa na uthibitisho na wala kutiwa hatiani na Mahakama.

Namnukuu pia "Si kila anayetajwa anahusika na dawa za kulevya, mtu mwingine naweza nkakutaja kwa visa tu"
-Gerald Kusaya - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya.

Umefurahi hadi nyuma kusikia Makonda katajwa na Kamishna.
 
Ulikuwa wapi kusimama na kusema!?
Viongozi wa Tz wamezidi uzabizabina.
 
Haya mambo angeongea kipindi kile kile yangeleta maana zaidi...
 
Hali kwa Dar sio nzuri kabisa. Vijana wa kiume wanapaka mpaka lipstiki?

Bangi na madawa yanavutwa vibarazani. Vijana wa kiume wanajiuza kabisa.

Alafu mkuu wa nchi anabembeleza eti tusiige mila mbaya za wazungu tuige kuvaa suti badala ya kukemea hadharani kisa tu Kamala Harris atatembelea Bongo na kutoa tril 1.3.

Bora amteue tena Makonda kudhibiti hii hali.
 
Back
Top Bottom