Na hapo ndio mkuu atakuwa ameharibu zile misifa ya kila kukicha.Hali kwa Dar sio nzuri kabisa. Vijana wa kiume wanapaka mpaka lipstiki?
Bangi na madawa yanavutwa vibarazani. Vijana wa kiume wanajiuza kabisa.
Alafu mkuu wa nchi anabembeleza eti tuige mila mbaya za wazungu tuinge kuvaa suti badala ya kukemea hadharani kisa tu Kamala Harris atatembelea Bongo na kutoa tril 1.3.
Bora amteue tena Makonda kudhibiti hii hali.
KATIBA Mpya viongozi waombe nafasi na kupigiwa kura pia wajieleze kwanini wanajiona watafaa hizo nafasi.!