sio kwamba visa vilipunguoa bali walibaki kwenyye ulingo wenye ruhusa ya mwenda zake. 2018 CIA walitoa ripoti kuwa Dar es Salaam ni Hub y madawa kwenye ukanda wa afrika mashariki.Yalitoka wapi? Makonda alitajwaWata
Watanzania we waache tu, hawana jema hata kidogo.
Hawajui lipi wanataka.
Jk alisema majina anayo na hakutaja wakawa wanamlazimisha ataje.
Walipotajwa ikaonekana wanaonewa ni mambo ya kisiasa.
Kwanza wawatoe magerezani.Nafikiri sasa ni wakati wa watu waliochafuliwa na Makonda kama ma-Drugs Dealers wamsukume mahakamani (otherwise awe na kinga) ili liwe funzo kwa viongozi wengine wenye tabia za ki-Makonda.
Ujambazi tuu. Hela aliyoipata toka kwetu wafanyabiashara kwa kampeni ya dawa za kulevya,ni mabilioni.Makonda alikuwa anaongozwa na kiki na mihemko tu.
Nasikia zimeishaaUjambazi tuu. Hela aliyoipata toka kwetu wafanyabiashara kwa kampeni ya dawa za kulevya,ni mabilioni.
Kweli kabisa, hii dunia haina wema hata kidogo, JK alitukanwa kwa kuficha majina , makonda aka JPM aliweka hadhalani hayo majina leo makonda AKA JPM anaonekana hafai. Lakini biashara ulipungua sana Sana, vijana wengi walikuwa na hali mbaya kiafya kila leo tulikuwa tunasikia wanapelekwa soba house. Hivi kweli huyu mkurugenzi anaweza kuwashika kingpin wa dawa za kulevya kama akipewa tonge mdomoni.Wata
Watanzania we waache tu, hawana jema hata kidogo.
Hawajui lipi wanataka.
Jk alisema majina anayo na hakutaja wakawa wanamlazimisha ataje.
Walipotajwa ikaonekana wanaonewa ni mambo ya kisiasa.
Huyu hapa wa kwanza G4rpolitics hapo juu.Watetezi wake watakuja kumtetea huku wakibinua matako juu bila aibu
Hakuwa kwenye nafasi hiyo.Leo ndio amejua hilo? Kwa nini hakumpinga wakati anatoa tamko?
Amandla...
Umefurahi hadi nyuma kusikia Makonda katajwa na Kamishna.Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.
Alienda mbali na kusema wao kama serikali hawawezi kukutaja hadaharani hivyo bila kuwa na uthibitisho na wala kutiwa hatiani na Mahakama.
Namnukuu pia "Si kila anayetajwa anahusika na dawa za kulevya, mtu mwingine naweza nkakutaja kwa visa tu"
-Gerald Kusaya - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya.
Itoshe kumuita best looser #mtiwanguMzee wa dathilamu hakuwahi kufanikiwa mission yoyote ile
Ulikuwa wapi kusimama na kusema!?Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.
Alienda mbali na kusema wao kama serikali hawawezi kukutaja hadaharani hivyo bila kuwa na uthibitisho na wala kutiwa hatiani na Mahakama.
Namnukuu pia "Si kila anayetajwa anahusika na dawa za kulevya, mtu mwingine naweza nkakutaja kwa visa tu"
-Gerald Kusaya - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya.
Huo ndo ukweliMakonda ile kazi ilimzidi kimo.
Wakati ule alikua ameishika nchi kiganjaniOgopa kupambana na mtu aliyeko tayari kuua. Nie sawa na kumjaribu kichaa mwenye panga ukiwa na mikono mitupu.
Jamaa ana Mganga hatari sana tu Kilwa.Nafikiri sasa ni wakati wa watu waliochafuliwa na Makonda kama ma-Drugs Dealers wamsukume mahakamani (otherwise awe na kinga) ili liwe funzo kwa viongozi wengine wenye tabia za ki-Makonda.
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app