Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

Sema kwa bangi makonda akiingia aipitishe tuu, maaana ni tamu
 
Sasa si angeanza kujidhibiti mwenyewe kwanza kwenye hilo swala la ugasho??

Bashite alizua taharuki ya kusakama mashoga ili kupoteza watu maboya maana habari ya yeye kupumuliwa ilitamalaki mno. Ikabidi asaliti kambi kusafisha jina.
 
Kwendraaaaa huko bashite wewe.

Tuwekee hata picha moja tuwaone huko vibarazani na wanaojiuza.
Wewe na wewe utakuwa shoga.Unataka picha ya nini na hata hapa kijijini nilipo vijana mashoga wamejaa.Mashuleni nako usiseme,watoto wanafanyana vyooni bila woga.

Ila msisahau kwamba MUNGU anachukia ushoga na kwamba Sodoma iliharibiwa kwa moto wa kibiriti kwa ajili hiyo.Make no mistake about it,Gods' rage is coming for all evil doers.
 

Tunahitaji mtu atakae inusuru tanzania si dar.
Mamlaka za uteuzi hazifanyi kazi kwa reasoning za namna hiyo.
 
Yeye mwenyewe ni punga, kama wewe tu
 
Atarusiii tuuu ni suala la mda tuuu
 
Kama unampenda sana Makonda, mwalike nyumbani kwako, hata umfanye awe mshauri mkuu wa familia yako.

Lakini kwa watanzania waadilifu wanaotaka kiongozi mwadilifu, MAKONDA HAFAI, HAFAI KWA CHOCHOTE. Maovu ya kuwapora Watanzania mali zao na kusimamia vikosi vya watekaji, havimfanyi hata kuwa binadamu wa kawaida. Wengi tunashangaa kwa nini huyu hayupo aliko mwenzake, Sabaya, aliyekuwa anawapigilia watu misumari, kuwakata masikio na kuwapora watu mali zao.

Nchi haijaishiwa watu kiasi cha kuwahitaji majambazi kuwa viongozi wao.
 
Hatujaishiwa watu kiasi cha kuwataka majambazi kuwa viongozi. Aendelee na ujambazi wake lakini siyo kwa kutumia ofisi ya Serikali.

Kuna siku yaja, atapelekwa anapostahili. Uovu wake ni afadhali wa Sabaya.
 
Apewe ujumbe wa nyumba Tano🤔
 
Makonda ni mtoto wa mjini?
Yes Makonda, japo alizaliwa kijijini Kolomije na kuanzia Shule Kolomije, alihamia jijini Mwanza, kisha akaja jijini Dar es Salaam na Jiji akaliweza, hivyo ni mtoto wa mujini.
P
 
Wata

Watanzania we waache tu, hawana jema hata kidogo.
Hawajui lipi wanataka.
Jk alisema majina anayo na hakutaja wakawa wanamlazimisha ataje.
Walipotajwa ikaonekana wanaonewa ni mambo ya kisiasa.
Sasa kama Gwajima anauza how comes hakufikishwa mahakamani au Mbowe pia.... Ndio tunachopinga hiko. Kamata wahusika usingeona kelele
 
nimecheka sana sana
Kumbe imekuchekesha!! Hamna mwanaume pale kwa Makonda. Angalia hips na msambwanda wake. Halafu eti alikuwa anapiga vita ushoga akiwa RC Dar. Hawa watu walitudanganya sana. Sawa na Magufuli eti anapiga vita ufisadi wakati anachukua mabilioni ya plea bargain na kuyaficha China
 
Hapa kwetu Uzaramoni tuna usemi tunasema ZILONGWA MBALI ZITENDWA MBALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…