DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Labda awe Afghanistan Ila kama Yuko nchi za Ulaya na Asia ya mbali lazima Interpol wamrudishe na Pingu mkononi.


Halafu huwez kumwaga damu ya MTU ukabaki Salama
Kwa mtu maarufu kama yeye kukimbilia nje ya nchi bila kupatikana ni ngumu. Wanaoweza kufanya hivyo ni wale mashahidi tu wa kuisaidia polisi ila MAIN CHARACTER lazima atafutwe.
 
Uyu uchebe ni wa kusweka lockup imediately.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Mkila tungi ata ujiniaz unapotea mzee

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Mtu smart huwa anapeleka mambo yake clean kias kwamba athari kwake ni ndogo sana... Ss ye anafanya maamuzi ya kuathiri hadi waliomzunguka... Imagine watoto wanaweza baki kwa shida kisa kaenda na wife kwenye tukio, uyu jamaa hakuwa smart... Sema ujanja ujanja na zali tu.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Jaman yule dada kaachiwa huru? Si ni yeye alikiri kufanya mauaji na akaonesha mahala alipomzika mama yake imekuaje tena? Nyie hii nchi [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa Mende. Damu ya mtu asiye na hatia haipotei bure.
Huyu dogo Mende kwa misifa ashajiharibia big time. Anaweza na ataweza kushinda kesi lakini Karma iko pale pale.
Anashindaje kesi hii na huo ushahidi intact kabisa. Kwenye murder case inatafutwa mens rea, na unaiona kabisa mtu ametoka na bunduki nyumbani akiwa na dhamira ya kwenda kumuua mwizi wa gesi.

Baada ya hapo amebeba mwili na kwenda kuutupa huko porini Kibaha sijui.

Hata Majaji/ Prosecutors wanaogopa kula rushwa za mauaji ya wazi kama haya. Wanaweza wakapokea fedha lakini lakini ikapotea bure. Kama mnadhani kufukia kesi za mauaji ni rahisi angalieni kesi ya wale wachimbaji madini waliouliwa na askari wa Zombe mwaka 2006. Na yule Bageni kakata rufaa zaidi ya mara 2 au 3 bado Mahakama zimesimama palepale.
 
Hata mie nilikuwa nashangaa hiki kitu unajiuliza mbona napika kawaida gas inaisha vipi haraka? Ila hii niliwahi sikia Mama mmoja akilalamika aliwahi kuta kabisa gari limesimamishwa kazi waifanyayo ndiyo hiyo.
 
Hata mie nilikuwa nashangaa hiki kitu unajiuliza mbona napika kawaida gas inaisha vipi haraka? Ila hii niliwahi sikia Mama mmoja akilalamika aliwahi kuta kabisa gari limesimamishwa kazi waifanyayo ndiyo hiyo.
Jaman basi ntakua nanunua gas mahala penye mizan tu kwingne hapana. Kumbe tunaibiwa bila kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…