TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #61
Maisha ya masikini ni kama ya mbwa mkuu.Nimeumia sana maisha yenyewe hayo yakuunga unga halafu unalinda mali za watu na unakufà kifo cha kikatiri hivyo daa, apumzike kwa amani.
Hata wewe, unaniangusha mkuu.Nilikuwa natamani kupata kisa chote hatimaye nimekipata
Baada ya ndugu kuhamanika na kuwa wanapiga kambi kituo cha polisi jamaa alikamatwa, na inasemekana yuko lock up hadi sasa.Jamaa mpaka leo yupo ndani au kaachiwa yupo uraiani?
Kuharibu ushahid ni had kesi iende mahakamani?nway sina utaalamu na hayo mamboHow anaharibu ushahidi?
Hadi sasa hakuna kesi ambayo iko mahakamani kuhusiana na hili tukio, labda kesi ingekua mahakamani hapo ungeweza sema anaharibu kwa kuongelea ishu ambayo iko mahakamani.
Na hapo ujiulize why wanachelewa hivyo kulipeleka hili suala mahakamani?
Nguvu ya pesa.
Atakua anazeeka vibaya Sasa,Inasemekana ni britanicca
Kumbe hujasoma?Naomba jina la Twitter lenye hyo story mkuu .... na km Andron sie aliyefyatua risasi why afiche .... na Adinani alipata wapi hyo silaha ya kumuua mlinzi....Naona ndugu Adnani anataka kuangushiwa jumba bovu apo....pesa inataka kufunika mambo
Daa sasa huko ndiko kijana alikuwa anajitafutia maisha[emoji24]Maisha ya masikini ni kama ya mbwa mkuu.
Tutafute pesa.
kufa-kufaana, yametimia.!Mlinzi kafa na watu wamekula pesa
Muheza kuna kabila gani mkuu?Inasikitisha sana. Rest in peace mlinzi.
Wasambaa wanapenda kesi kweli lakini hawatoki Mheza (muheza). Wasambaa wapo lushoto huko.
Tuko pamoja [emoji1752]Kwa hili tukubaliane kuwa tuna mitazamo tofauti.
Wabondei...hao sio kesi tu..mpaka urogi. Wakikuamulia saa kumi na mbili hautoboi.Muheza kuna kabila gani mkuu?
Na ni nani aliyesema au aliyekataa kwamba pesa hainunui furaha?Nani aliyekwambia pesa hai nunui furaha