DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na kwa ujinga zaidi akaanza kuzimimina juu nje kabisa ya geti. Sijui ndo pombe ama nini sijui.
 
Hata kesi ikiwa ipo mahakamani, hakuna ushahidi unaoharibika kwa watu kuizungumza mtaani na wala hakuna sheria inayokataza kuzungumza habari za tukio ambalo tayari limefunguliwa kesi mahakamani.

Majaji au mahakimu hawatoi hukumu kwa kusoma mitandaoni au magazetini habari za tukio lihusulo kesi ili mbele yao, au kwa kusikiliza story mitaani BALI wanafikia hukumu kwa kuchambua na kupimanisha ushahidi uliotolewa mahakamani.

Hii ya kusema siruhusiwi kuzungumzia kesi iliyopo mahakamani, ni WANASIASA waliiweka ili kukwepa kuhojiwa kwa kesi zinazohusu serikali na wao wenyewe, sasa imechukuliwa kama ni sheria au kosa kuzungumzia jambo ambalo lina kesi mahakamani, KITU AMBACHO SIO KWELI, SIO KOSA.
 
Okaay asante mkuu kwa hii elimu. Basi muda wote nimekua nikifikiria kuwa kuongelea issue ambayo ipo mahakamani ni kosa kwa sababu ya hayo maelezo ya wanasiasa mara nyingi wakihojiwa kuhusu issue iliyo mahakamani. Shukrani
 
Okaay asante mkuu kwa hii elimu. Basi muda wote nimekua nikifikiria kuwa kuongelea issue ambayo ipo mahakamani ni kosa kwa sababu ya hayo maelezo ya wanasiasa mara nyingi wakihojiwa kuhusu issue iliyo mahakamani. Shukrani
Wanasiasa wameitumia sana hii kauli ili kufunga mijadala isiendelee nchini, hata waziri akiulizwa bungeni swali labda linalohusu ukiukaji wa haki za binadamu (vifo nk) hujibu 'sitopenda kuzungumza kuhusu hili kwa kuwa lipo mahakamani, tuiache mahakama ifanye kazi yake' , Kana kwamba akijibu basi mahakama itashindwa kufanya kazi yake. Ni njia ya kukwepa uwajibikaji.
 

Mlikuwa naye O-level au A- level? Class ya mwaka gani?
Najaribu kuvuta picha kama naweza mkumbuka!
 
O.level mi nilimaliza 2002 alikua mbele yangu darasa moja class yao alikuwa na kina Allen Charles nae amefariki masikini . Si class yetu tulikua na kina Fred mtui , Andrew na wakina bernad chezue kiredio Hahaha. Loooong time

Oh… Basi nyie mlitangulia miaka michache mkuu.
Kuna class ilikuwa mbele yetu ilikuwa na mtu anaitwa Doxx or so, kwa hiyo kidogo ilikuwa inanipa hisia za uwezekano wa kumfahamu huyu billionare Andron.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…