DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na wewe unaamini uliteuliwa na Mungu kusoma civil procedure? [emoji1787][emoji1787]

Hayo umesema wewe.

Ninachosema mimi ni kwamba, course zingine kama udaktari, uhandisi nk.. hata usome hadi level ya mwisho kamwe huwezi pigiwa saluti.

Sheria kwasababu ni kozi special, inaheshima yake. Unapigiwa saluti & kuitwa mheshimiwa, kupewa na ulinzi ( majaji & mahakimu, AG, DAG, DPP).

Sasa usione wivu kwenye taaluma nyeti za watu.

NB: Nusu ya Marais Marekani kitaaluma ni Wanasheria, Hata Joe Biden na Makamu wake ni Wanasheria hali kadhalika Vladimir Putin na Xi Jinping - China, hujioni wewe ni mjinga tu? [emoji23]
 
Aliyeanzisha huu utopolo kwamba mtu asiajiriwe hadi apitie LST sijui aliwaza nini.
Maana tukisema law ni kazi sensitive kuliko udaktari na uinjinia inakuwa ni uongo.

Sheria yes ni sensitive mno. Daktari anapigiwa saluti au hata kuitwa mheshimiwa? Kwanini wapigiwe majaji & mahakimu?

Kila kitu dunia hii kinaendeshwa na sheria. Ukipata msala tu hata wa kusingiziwa upo mahabusu ndio utaelewa unyeti wa sheria.
 

Simple psychology. Ulitamani kuwa kwenye noble profession ukaangukia pua.

Hutoweza kuwa Lawyer hadi unaingia kaburini, you don’t belong to the luminary club of enlightened minds.

Get over it, zombie! [emoji16]
 
mbona umedisco sasa? au ulifaulu Somo 1 tu la Civil procedure ?
Hahahaaa... you must be a very funny mentally unstable paralegal who is hiding somewhere in a village law firm.

Mimi ni zaidi ya huo upumbavu wa hiyo inayoitwa Law school.

Na nitaendelea kuwachana tu anytime siku saba za wiki.

Hiyo HKL yako haiwezi kunibabaisha.
 
-nani kakudanganya sheria ni HKL?uko nyuma sana kwa kujuwa mambo, kuna Mawakili ni CPA holders, yaani hadi waliosoma pcm,egm,hge,
-unaposema sheria ni za wasichana hapa ndio tumeona ulivyo na uelewa mdogo, na umekosa heshima kwa wanawake,Jaji mkuu wa tanzania ni mwanaume, AG ni mwanaume,DPP ni mwanaume usitukane watu kwa sababu ww umedisco sio peke yako mko wengi mliodisco.
-Kama ni chokambaya waache hivyo hivyo, ww na utajiri wako baki nao
-BTW umesomea taaluma gani?
 
-hoja imekugusa vizuri, jikaze tu mkuu,
-kwani hapa tunajadili HKL au Law School?
 
Kwahiyo tupitishe vila kwa sababu tunaogopa hasara ya ada?
 

Paschal leo umepuyanga..

Elimu ya juu inayoheshimika duniani zama hizi ni (STEM degree)

Hizo havard, oxford, zinaheshimika sababu ya STEM Courses

Stem inamaanisha Science , Technlogy, Engineering Na Mathematics

Kama unabisha fanya research kisha ulingainishe fani za STEM na sheria zipi ni fani ngumu na zenye heshima duniani zama hizi
 
Vijana acheni upumbavu. Masomo ya sheria hayataki masikhara kabisa. Mwaka 2021 nchini Zambia alifaulu mwanafunzi mmoja tu kwenye 395 waliofanya mitihani ya Law School ya huko. Kazeni buti. Hatuwezi kuwa na rundo la wanasheria vilaza. Bora kwenye 1000 wafaulu wanne tu walio serious. Mnataka kwenda kidimbwi huku pia mnataka mpate huo uwakili.

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…