DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na wewe unaamini uliteuliwa na Mungu kusoma civil procedure? [emoji1787][emoji1787]

Hayo umesema wewe.

Ninachosema mimi ni kwamba, course zingine kama udaktari, uhandisi nk.. hata usome hadi level ya mwisho kamwe huwezi pigiwa saluti.

Sheria kwasababu ni kozi special, inaheshima yake. Unapigiwa saluti & kuitwa mheshimiwa, kupewa na ulinzi ( majaji & mahakimu, AG, DAG, DPP).

Sasa usione wivu kwenye taaluma nyeti za watu.

NB: Nusu ya Marais Marekani kitaaluma ni Wanasheria, Hata Joe Biden na Makamu wake ni Wanasheria hali kadhalika Vladimir Putin na Xi Jinping - China, hujioni wewe ni mjinga tu? [emoji23]
 
Aliyeanzisha huu utopolo kwamba mtu asiajiriwe hadi apitie LST sijui aliwaza nini.
Maana tukisema law ni kazi sensitive kuliko udaktari na uinjinia inakuwa ni uongo.

Sheria yes ni sensitive mno. Daktari anapigiwa saluti au hata kuitwa mheshimiwa? Kwanini wapigiwe majaji & mahakimu?

Kila kitu dunia hii kinaendeshwa na sheria. Ukipata msala tu hata wa kusingiziwa upo mahabusu ndio utaelewa unyeti wa sheria.
 
Sheria ni za wasichana Kama TULIA ACKSON.

Haina usomi wowote na hasa ukizingatia ni wahitimu wa HKL.

Choka mbaya, intellectually and economically.

Mimi usinifananishe na hizo takataka!

Mimi ni mtu tofauti kabisa, don't mistake me with some unwarranted rubbish!

Simple psychology. Ulitamani kuwa kwenye noble profession ukaangukia pua.

Hutoweza kuwa Lawyer hadi unaingia kaburini, you don’t belong to the luminary club of enlightened minds.

Get over it, zombie! [emoji16]
 
mbona umedisco sasa? au ulifaulu Somo 1 tu la Civil procedure ?
Hahahaaa... you must be a very funny mentally unstable paralegal who is hiding somewhere in a village law firm.

Mimi ni zaidi ya huo upumbavu wa hiyo inayoitwa Law school.

Na nitaendelea kuwachana tu anytime siku saba za wiki.

Hiyo HKL yako haiwezi kunibabaisha.
 
Sheria ni za wasichana Kama TULIA ACKSON.

Haina usomi wowote na hasa ukizingatia ni wahitimu wa HKL.

Choka mbaya, intellectually and economically.

Mimi usinifananishe na hizo takataka!

Mimi ni mtu tofauti kabisa, don't mistake me with some unwarranted rubbish!
-nani kakudanganya sheria ni HKL?uko nyuma sana kwa kujuwa mambo, kuna Mawakili ni CPA holders, yaani hadi waliosoma pcm,egm,hge,
-unaposema sheria ni za wasichana hapa ndio tumeona ulivyo na uelewa mdogo, na umekosa heshima kwa wanawake,Jaji mkuu wa tanzania ni mwanaume, AG ni mwanaume,DPP ni mwanaume usitukane watu kwa sababu ww umedisco sio peke yako mko wengi mliodisco.
-Kama ni chokambaya waache hivyo hivyo, ww na utajiri wako baki nao
-BTW umesomea taaluma gani?
 
Hahahaaa... you must be a very funny mentally unstable paralegal who is hiding somewhere in a village law firm.

Mimi ni zaidi ya huo upumbavu wa hiyo inayoitwa Law school.

Na nitaendelea kuwachana tu anytime siku saba za wiki.

Hiyo HKL yako haiwezi kunibabaisha.
-hoja imekugusa vizuri, jikaze tu mkuu,
-kwani hapa tunajadili HKL au Law School?
 
Mkuu suti ni uniform tu kwa mujibu wa utaratibu wa chuo chenyewe.

Kumbuka pana wazazi maskini hapa wamepoteza:

265 x 1,570,000 = 416,050,000/- kwenye disco hizo hapo juu. Ambapo bila shaka LST wanahesabu kuwa ni faida kwao.

Wanafunzi hawa itakuwa kuwaonea kudhani kuwa hujiona wametoka. Hawa ni wahanga kama ilivyo kwa wengine wote ambao haki zao zinakiukwa wazi wazi na hawana namna.
Kwahiyo tupitishe vila kwa sababu tunaogopa hasara ya ada?
 
Sii kweli!, kwa kuanzia kuna kusoma kutafuta cheti cha kuhitimu ili upate ajira na kuna kusoma kutafuta elimu ili tuu kuelimika, kuna mamia ya watu wamesoma sheria na wanafanya shughuli nyingine tuu, wako very successiful bila kuhitaji kuwa wakili. Sio lazima kila mwenye LL.B awe wakili, wengine tumesoma LL.B ili tuu kuelimika na sio kusaka ajira. Ila kama unataka kuwa wakili ni lazima upite LST na ufaulu.

What has this got to do with LST?. Pale wanaingia graduates only, mtu msomi utamvuliaje mtu na kumruhusu akuingilie kavu kavu hadi upate ukimwi?, unless useme miungu watu hawa pia ni wabakaji?.

Naunga mkono hoja.
P

Paschal leo umepuyanga..

Elimu ya juu inayoheshimika duniani zama hizi ni (STEM degree)

Hizo havard, oxford, zinaheshimika sababu ya STEM Courses

Stem inamaanisha Science , Technlogy, Engineering Na Mathematics

Kama unabisha fanya research kisha ulingainishe fani za STEM na sheria zipi ni fani ngumu na zenye heshima duniani zama hizi
 
Vijana acheni upumbavu. Masomo ya sheria hayataki masikhara kabisa. Mwaka 2021 nchini Zambia alifaulu mwanafunzi mmoja tu kwenye 395 waliofanya mitihani ya Law School ya huko. Kazeni buti. Hatuwezi kuwa na rundo la wanasheria vilaza. Bora kwenye 1000 wafaulu wanne tu walio serious. Mnataka kwenda kidimbwi huku pia mnataka mpate huo uwakili.

Paschal leo umepuyanga..

Elimu ya juu inayoheshimika duniani zama hizi ni (STEM degree)

Hizo havard, oxford, zinaheshimika sababu ya STEM Courses

Stem inamaanisha Science , Technlogy, Engineering Na Mathematics

Kama unabisha fanya research kisha ulingainishe fani za STEM na sheria zipi ni fani ngumu na zenye heshima duniani zama hizi

Hata udsm imeshuka sana kwenye ranking za vyuo vikuu africa na dunianj sababu iliporwa STEM course zake nyingi wakati vyuo vinatenganishwa kama Uclas na Muhas
 
Back
Top Bottom