Na wewe unaamini uliteuliwa na Mungu kusoma civil procedure? [emoji1787][emoji1787]
Hayo umesema wewe.
Ninachosema mimi ni kwamba, course zingine kama udaktari, uhandisi nk.. hata usome hadi level ya mwisho kamwe huwezi pigiwa saluti.
Sheria kwasababu ni kozi special, inaheshima yake. Unapigiwa saluti & kuitwa mheshimiwa, kupewa na ulinzi ( majaji & mahakimu, AG, DAG, DPP).
Sasa usione wivu kwenye taaluma nyeti za watu.
NB: Nusu ya Marais Marekani kitaaluma ni Wanasheria, Hata Joe Biden na Makamu wake ni Wanasheria hali kadhalika Vladimir Putin na Xi Jinping - China, hujioni wewe ni mjinga tu? [emoji23]