Upigaji kila mahali. Ambako kunategemewa kuwepo haki, usawa na uwazi wachungaji wanafanya yao. Kondoo amkeni toka usingizi.Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo;
View: https://youtu.be/PFSgBSxhv28?si=N8p3jX9Od4sUbo2A
Tunabinywa kila sehemuKumbe sio mitume na manabii tu š³š³š³
Kwanini ameanza kuishukuru serikali badala ya kuishia Kumshukuru Mama Samia?Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo;
View: https://youtu.be/PFSgBSxhv28?si=N8p3jX9Od4sUbo2A
Mmmh unataka kugeuke kuwa Frontline?Hicho kikundi cha imani kimeanza kuwa corrupt hakuna kanisa hapo, Mungu hawezi kukaa humo amewaacha wajieendee kwa akili zao tu, ni bora waumini waake watoke humo waende kwenye kundi la imani ambapo Mungu yumo humo na anaabudiwa katika roho na kweli
Aiseeš¤£wasabato wengi sasa hivii weziii...wanakuibia chap huku wanakwambia maranathaa yesu yuajaa
Hata huko ni walewale bora tubaki tulipoHicho kikundi cha imani kimeanza kuwa corrupt hakuna kanisa hapo, Mungu hawezi kukaa humo amewaacha wajieendee kwa akili zao tu, ni bora waumini waake watoke humo waende kwenye kundi la imani ambapo Mungu yumo humo na anaabudiwa katika roho na kweli