Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.

Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo;

View: https://youtu.be/PFSgBSxhv28?si=N8p3jX9Od4sUbo2A

Upigaji kila mahali. Ambako kunategemewa kuwepo haki, usawa na uwazi wachungaji wanafanya yao. Kondoo amkeni toka usingizi.
 
Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.

Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo;

View: https://youtu.be/PFSgBSxhv28?si=N8p3jX9Od4sUbo2A

Kwanini ameanza kuishukuru serikali badala ya kuishia Kumshukuru Mama Samia?
 
Hicho kikundi cha imani kimeanza kuwa corrupt hakuna kanisa hapo, Mungu hawezi kukaa humo amewaacha wajieendee kwa akili zao tu, ni bora waumini waake watoke humo waende kwenye kundi la imani ambapo Mungu yumo humo na anaabudiwa katika roho na kweli
 
Mmmh unataka kugeuke kuwa Frontline?
 
Wamegeuza nyumba ya ibada kuwa pango la wanyang'anyi
 
Huyu mchungaji si atakuja kuonekana kama msaliti wa kanisa na hata kupelekea kutengwa na kanisa?
 
Wasabato mimi huwa sielewi wanahubiri nini zaidi ya kuliongolea kanisa takatifu la mitume
 
Hicho kikundi cha imani kimeanza kuwa corrupt hakuna kanisa hapo, Mungu hawezi kukaa humo amewaacha wajieendee kwa akili zao tu, ni bora waumini waake watoke humo waende kwenye kundi la imani ambapo Mungu yumo humo na anaabudiwa katika roho na kweli
Hata huko ni walewale bora tubaki tulipo
 
Back
Top Bottom