knowledge finder
Member
- Sep 18, 2016
- 94
- 46
Sio sababu mbona wengine sisi sio wa ukanda huo,Nilichogundua hadi sasa, kuna Makabila Fulani hasa kutoka kasikazini Mashariki(Arusha, Manyara na Kilimanjaro) yanalazimisha kwamba Tanzania tayari tuna mfumo wa Ukabla, Udini na ukanda. Mimi nasema vitu hivyo havipo Tanzania. Kwanini msikubali nyinyi wa Kasikazini Mashariki ya kwamba sasa ni zamu ya Kasikazini Magharibi. Huwezi kuwa Taifa Teule Milele, kwa kuwa Mungu ni Wetu sote( Development is cyclical)( Mafanikio ni mzunguko, Jana USA, leo China, na Kesho ni Brazil). Ni mawazo yangu tu.
Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.Leo tunaona wasukuma Mnashika Nafasi nyeti kabisa za Taifa hili Mfano mkuu wa Majeshi, Naibu waziri wa madini,Mkuu wa usalama wa taifa, mkuu wa Chama tawala, Mkuu wa UVCCM na Ma RC,DC, RPO, DSO wengi ni Wa Kanda ya ziwa
Hili linatengeneza network fulani ambapo mbeleni huko kwa vile tu mtajaa serikalini basi mtajiona Mko top ki IQ, Pata picha leo mchaga ashike nchi, Pwani tumetoa Maraisi wawili wa Taifa hili ambao hawana Ukanda fatilia structure ya uongozi Wa JK na Mwinyi
Uko sawa, tatizo Mimi kwangu naliona ni pale unapo tumia neno KUAMINI ukasahau UHALISIA(reality).Msukuma kuamua kesi dhidi ya wasukuma ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.
Hakujawi kutokea ukabila mzuri hata uupake rangi nzuri kiasi gani. Hata kipindi cha Nyerere kuwa na wanajeshi wengi kutoka Mara haikuwa sawa na haikuwa na maana kuwa watu wa Mara ndio wanafaa zaidi kuwa wanajeshi. Kila mtanzania awe na haki sawa bila upendeleo.Mbona leo hii kuna wanajeshi kibao kutoka kila kona ya nchi na wanafanya vizuri?
Mifano yako mingi uliyotoa haina tija kabisa. Kwa mfano umetolea mfano wa kuendeleza wamakonde na wanariadha kutoka jamii za wafugaji na wawindaji wa milimani eti kisa wengi wao wana historia ya kufanya vizuri kwenye maeneo hayo.
Mifano hii ni old fashioned ,kwa dhama hizi ambazo tunaamini any one can be anything he/she want as long as he/she works on it. Siku hizi kipaji sio kila kitu, watu wanaamini sana katika bidii na kujifunza, mengine yote yatakuja kama maji yanavyotiririka mtoni.
Hiyo mifano yako haifanyi kuwepo kwa ukabila/ukanda mzuri ilimradi kila mtu akipewa fursa akitia bidii anaweza kufanya lolote bila kujali anatokea wapi.
Nenda kajipange na wasukuma wenzio ndio urudi tena.
PASCAL hivi unajua wasukuma walio wengi wako maporini hawajasoma? ukilinganisha wasukuma walioko mjini na wale wa vijijini idadi ni ndogo, ukilinganisha wasukuma wa mjini wasomi na watu wa makabila mengine walioko mjini wasomi wasukuma ni wachache.....sasa nyazifa hapo sidhani kama wangepata kwa utitiri namna hiyo. hata hivyo, binafsi sijaona kama wamependelewa sana kwa kipindi hiki, kwa hapo niwe fair kidogo, sema tu wale wanaopewa hasa hao wa kolomije wanalichafua sana kabila lenu Pascal, wengi tunaamini wasukuma wote hata wewe una akili kama za watu wa kolomije....labda muwe mna ji distance from them kusafisha kabila, limeshachafuka tiari.Naomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.
Paskali
Mkuu hute, usemayo ni kweli, pamoja na Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kuliko yote Tanzania, lakini kwa idadi ya wasomi, tumezidiwa na vikabila vidogo vidogo kama Wahaya na Wachagga!.PASCAL hivi unajua wasukuma walio wengi wako maporini hawajasoma? ukilinganisha wasukuma walioko mjini na wale wa vijijini idadi ni ndogo, ukilinganisha wasukuma wa mjini wasomi na watu wa makabila mengine walioko mjini wasomi wasukuma ni wachache.....sasa nyazifa hapo sidhani kama wangepata kwa utitiri namna hiyo. hata hivyo, binafsi sijaona kama wamependelewa sana kwa kipindi hiki, kwa hapo niwe fair kidogo, sema tu wale wanaopewa hasa hao wa kolomije wanalichafua sana kabila lenu Pascal, wengi tunaamini wasukuma wote hata wewe una akili kama za watu wa kolomije....labda muwe mna ji distance from them kusafisha kabila, limeshachafuka tiari.
Huu sasa utakuwa ni ubaguzi!. Kati ya Watanzania milioni 50, milioni 10 ni Wasukuma, hivyo kwenye kila teuzi 5, mmoja lazima awe Msukuma kwa sababu they make up 20% ya Watanzania and soon they'll make 30% kwa ndilo tribe lenye the highest procreation rate ya birth rate. Wasukuma ndio wanaoongoza kwa fertility!. Familia nyingi ni watoto 8!. Mimi nakwenda 10!.wasaidizi wake wapunguze kumpelekea faili za wasukuma na wakristo wasiende kwa upambe
hakuna kitu kama hicho ulichoandika hakitafaa kabisa! nalemaga getegete tena kwa kuuma na menoHuu sasa utakuwa ni ubaguzi!. Kati ya Watanzania milioni 50, milioni 10 ni Wasukuma, hivyo kwenye kila teuzi 5, mmoja lazima awe Msukuma kwa sababu they make up 20% ya Watanzania and soon they'll make 30% kwa ndilo tribe lenye the highest procreation rate ya birth rate. Wasukuma ndio wanaoongoza kwa fertility!. Familia nyingi ni watoto 8!. Mimi nakwenda 10!.
P
Nafasi nyeti hazishikwi kwa sababu ya uwingi bali kwa kukidhi vigezo husikaNaomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.
Paskali
Hatuteui watu kwa sababu ya uwingi paskalHuu sasa utakuwa ni ubaguzi!. Kati ya Watanzania milioni 50, milioni 10 ni Wasukuma, hivyo kwenye kila teuzi 5, mmoja lazima awe Msukuma kwa sababu they make up 20% ya Watanzania and soon they'll make 30% kwa ndilo tribe lenye the highest procreation rate ya birth rate. Wasukuma ndio wanaoongoza kwa fertility!. Familia nyingi ni watoto 8!. Mimi nakwenda 10!.
P
Kwa hiyo awamu hii ndo wasukuma wako wengi? acheni usukuma nyieNaomba kumtetea mtu hapa, Wasukuma wanashika nafasi nyeti, kwa sababu ndio waliowengi, ila wote wanaoteuliwa, wanateuliwa kwa sababu ni deserving, as long as wameteuliwa bila upendeleo katika uteuzi huru na wa haki na wanasifa na wamekidhi vigezo, kuna ubaya gani?.
Paskali
Kwaio kama ni wengiwasukuma ndio wengi
Eti ndo wamegundua awamu hii wako wengi huko nyuma sijui walikua wachache ..?Kwa hiyo awamu hii ndo wasukuma wako wengi? acheni usukuma nyie
Hawa watu mi siwaelewi kabisa yaani, dawa itawaingia tu na bado tunaongeza miaka ya utawala Iwe 7+7=? MtakomaWakati mnakiita Chadema ni chama cha kaskazini na CUF ni chama cha waislamu hivi mlikuwa mnadhani mnapanda mbegu gani? Mbona hatukuona hata mtu mmoja akikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi huu?
Tulieni dawa iingie.