Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Akili zilizofilisika mawazo hujadili personality sio maendeleo. Kwanza kabisa inaonekana wewe ndiye mkabila hasa maana unawazo mambo ambayo ni kizushi. Mtu kama wewe mwenye akili inayokimbilia kuwaza ukabila na ukanda ndio ukipata nafasi unajaza watu wa kwenu ofisini kisa ni wa kwetu hata kama uwezo zero. Maghufuli angekuwa mkanda na mkabila pro. Mhongo, Kitwanga na wengine wasingachia ngazi angewabeba tu kama JK alivyokuwa anawabeba mawaziri mizigo japo hawakuwa wa kabila lake.
 
Unayo majawabu
 
Purely,NONENSE
 
rudi kusoma huu mstari labda utaelewa zaidi

Kama ndivyo kweli,,,,,
kwanini viongozi wakuu karibu wote 95% wanatoka/teuliwa kutoka kanda ya ziwa
 
Anateua kulingana na uwezo wa mtu lakini pia kanda hiyo ni wasomi sana na wachapakazi

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hayo yote uliyosema.
Mh. Magufuli hana ukabila.

ISIPOKUWA aliona baada ya hao Wasukuma kudharaulika na kuwekwa pembeni kwa Muda mrefu tangu wakati wa Mwalimui kiwemo systemc strategy ya kuwanyima Elimu wasije wakshika IONGOZI maana alikuwa na HOFU na WASUKUMA.

Magufuli anachofanya sasa Si UKABILA bali ni EQUALIZATION format/ Yaani anabalansi.
Ndo maana nao sasa wanasikika.
.
Kwanini wabaki nyuma kisa tuni WaSUKUMA ?
Jamani tuwe wakweli!
 
Kwa mafisdi, wazembe (kupe), na wasiokuwa wabunifu! FANYA KAZI HAKUNA KILICHOBADILIKA NI MAWAZO YAKO TU. Kama ulizoea kula vya kunyonga safari hii lazima uchije ili ule. Hakuna kula kibudu.
Mafisadi ni akina nani?
Kupe ni akina nani?
Wasiofanya kazi ni akina nani?

Mkulima wa korosho analima korosho zake kwa jembe la mkoni mpaka mikono imeota sugu na mgongo umepinda halafu wanatokea wanyonyaji waliokaa ofisini wanakata na kutaifisha mabilioni yao yaliyopo kisheria kwa sababu ya kutafuta umaarufu wao binafsi wanawaliza wakulima maskini waliotoa jasho lao kwenye ardhi.

Mwalimu anakaa darasani masaa kumi ,mshahara 350,00O/- wateule hawalipi hata kodi mishahara na mapochopocho mil.12 kwa mwezi + nyumba ya Burr + usafiri VX V8 + Dereva+ Walinzi na bodyguard.

Wafanyabiashara wananyanganywa mabanda ya biashara tena yaliyojengwa na wao wenyewe kwenye maeneo yasio na mpangilio mzuri + Kodi kubwa na ushuru wa kila aina + mitaji yao wenyewe + mzunguko mdogo wa fedha .

Nadhani umegundua nani anastahili kiitwa kupe na fisadi.
Acha kukaririshwa mambo na watu wanaotetea maslahi yao na familia zao.

Nchi zote zinazodhoofisha wananchi wake kiuchumi kwa falsafa za kijamaa zinaongozwa na viongozi na watawala Mabepari.
 
Nafikiri uliendika kabla hamjapewa nafasi, saizi majibu utakua umeyapata
 
Hili la ukabila/ubaguzi linaweza kuwa kweli, ila wanapenda sifa na kujisikia. Na hili la ubaguzi sioni kama ndivyo ilivyo awamu hii!
 
Nyerere aliwanyimaje wasukuma elimu kama kweli wewe ni mtanzania.
Ulitaka wakijenga shule kisha waje na kuwafunga kamba kwa nguvu.Acheni lawama zisizo na ukweli. Kuna watu toka mikoa mbalimbali walisombwa kwenda shinyanga mwanza na Tabora ili wakajaze nafasi ktk shule ambazo wenyeji waligomea kusoma.

Mlijibagua wenyewe kwa ujinga wenu nadhani hata ibilisi shetani akiambiwa achague kabila ambalo aungane nalo basi angejiita msukuma.
 
Is it me or what....

I have tried so hard to understand what you are saying with no success at all...

You played yourself,go ahead....

Aliemuelewa huyu mtu naomba anieleweshe....
 
Mkuu acha uongo!wasukuma ni wakabila. Madaraka ya juu kwa mwenzao ndiyo yamefichua zaidi na kuweka unafiki wazi mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…