Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Wanaojitambua ni wangapi?Mikoa wanatoishi wasukuma wengi Mwanza, Simjui, Shinyanga, Geita , Tabora mikoa hii mtano ni kabila moja , ukiacha wasukuma wa morogoro ifakara huko, katavi huko, mbeya chunya ni ukweli kura hasa ushindi ya urais huamuliwa kanda ya ziwa hilo halipingiki lakini haina maana tuunge mkono ukabila hapana hapana
Duuh,Mwendazake angekaa miaka kumi wasukuma wangekua matajiri sana hata "mikono" ya sweta mmgeenda kuitoa ugaibuni !!??? Wachawi na wafuga fisi nyie
Seriously!! Hili taifa halijaendelea kwa sabb halijagawanyika...
Now our nation key success factor, ni kupromote mgawanyiko...
My fellow Tanzanians lets not fall to this damn dirty trap...
hata roma haikujengwa kwa Siku moja brother. Kila tabia hujengwa na kukua taratibu hadi kuwa kitu hatari. Tuombe Mungu tusifike huko mkuuBinafsi sijaona mabadiliko makubwa sana katika distribution ya madaraka. Ni kwa vile watu tulianza kuhoji makabila ya watu jambo ambalo zamani tulikuwa hatufanyi.
Unamaana Wakonongo... chief!wakunenge
Akili zenu sijui hua mnaacha wapi.Nisaidie kumpa pole,mana anaonekana kaandika kama hajaenda shule kabisa. Kwanini asingefanya utafiti kwanza?
Wasukuma wanakadiriwa kuwa zaidi ya 6ml lakini walioenda shule hata 10% hawafiki.
Kanda ya ziwa wahaya ni wachache kuliko nyie lakini wengi wameenda shule.
Hao wapumbavu hawajui lolote, hii sumu ikiendelea hata Shibuda anaweza kuwa Rais wa nchi hii wasukuma wakiamuaHahiyo Wanao sema sijui Sukuma Gang imefanya nini.
Wawe wapole
kweli kabisa kwa nyomi ya wasukuma ilivyoHao wapumbavu hawajui lolote, hii sumu ikiendelea hata Shibuda anaweza kuwa Rais wa nchi hii wasukuma wakiamua
Hakuna kabila lenye uwezo wa kusimama lenyewe bila kutafuta influence ya kabila jingine. Wasukuma ni zaidi ya makabila yote mengine yote yakiungana ?Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
ACHENI UKABILA SISI SOTE NI NDUGU WATOTO WA BABA MMOJA ALIYE JUU SANA MUNGUAcha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..
Kuna uwezekano kabila hilo lina laana...
Kweli: Samahani. Nenda tena ukani-like sasa! na mimi nitaku-likeUnamaana Wakonongo... chief!
Wewe unachanganya mambo sasa,wenzio wapo kwenye mada ya ukabila wewe ushachepuka kwenda kwenye dini.Atleast Mama Samia anajua kubalance hata teuzi anachukua bara anachukua visiwani, majina ya waislamu yanaonekana kwenye teuzi na majina ya wakristo yapo vile vile hatutaki mambo ya majina ya kanda moja ndio yanatokea kila teuzi hapana hata mkiwa wengi lazima kasungura kagawiwe kalivo kwa watu wote kila mmoja apate
Ndugu yangu, nini kifanyike?We are already falling ndugu yangu
Nyerere hakuwa mjinga kuiacha Butiama vile
hata roma haikujengwa kwa Siku moja brother. Kila tabia hujengwa na kukua taratibu hadi kuwa kitu hatari. Tuombe Mungu tusifike huko mkuu
Kabisa,waache watakuja tutawakomesha na vyama vya kikabilaLimeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.