Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Utahangaika ndugu yangu watu hawa hua wanatamani kitu ambacho kitakuja siku moja hapa nchini,sasa hivi hata uwaambie nini hawataelewa...ila ukanda na ukabila umeanzishwa na wakaskazini kupitia chama chao cha siasa
 
Nyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishasema hivyo ndo ukabila unapoanzia,punguza upumbavu na uamini kwamba Nyerere alikua binadamu,tunamkubali na kumuenzi kwa sababu ya kazi yake kama mtu wa awali kabisa ktk taifa letu tukipata uhuru,isipokua alikua ni binadamu na si MUNGU mpaka uamini kila neno lake
 
Sasa kama ni kuwaponza ndio ameshawaponza maana jamii imeshawachukulia wasukuma kuwa ndivyo mlivyo kupitia identity yake!

Kama alifanya vyema au ukorofi atakuwa amewatambulisha ninyi mlivyo ! [emoji38][emoji38]

Kazi mnayo @ Ngosha!
Wasukuma as a community ni loving, acceptable, accommodating na lovable.
Wasukuma original
Bomani.....
Makani...
Na wengine wengi.
Cheki tabia zao!
 
Mayala naomba ujibu hili swali:
Unaona ni sawa Magufuli kujenga uwanja wa ndege wa kiwango kile Chato?
Kama si sawa niambie kwanini.
Kama ni sawa ,,,hulazimiki kueleza ni kwanini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kiranga , despite each and everything, he deserves respect. Hata tulimtukama akiwa hai, sasa tusimtukane tena!. Ndio Uafrika, ndio Utanzania, ongea mazuri kumhusu marehemu.
P
Acha kuniingiza kwenye ujinga.

Sina tabia ya nidhqmu ya uoga wa kinafiki na sitaanza hiyo tabia leo.

Nimemuita Magufuli country bumpkin tangu akiwa hai.

Na sitaacha kusema hilo hata leo kafariki.

Huo Uafrika wa nidhamu ya kijinga kwamba tusiseme ukweli tulikaa kikao wapi na kukubaliana?

Wewe muqndishi wa habari gani usiyejua kanuni ya "call a spade a spade"?

Let's argue facts, achana na habari za kutaka kuniambukiza ustaarabu wa kijinga uliojengwa kwenye nidhamu ya woga.

Magufuli ni mpumbavu. Mtu anajijua anaumwa moyo kang'ang'ania kugombea urais kwa urohi wa madaraka. Mwisho wake kaenda kutufia akiwa Ikulu.

He was very stupid, very inconsiderate and very selfish.

Yeye aliweka tamaa ya madaraka mbele kuliko hata afya yake.

Kisha katikati ya pandemic anajijua anaumwa moyo, akakataa kuvaa barakoa na kupata chanjo na Mtanzania yeyote kuoata chanjo Tanzania.

Huku anadai ana Ph.D ya Chemistry.

Daflao likampata akafa. Sayansi haitaki figisu za kijinga.

Kama si upumbavu huo ni nini?
 
Mayala naomba ujibu hili swali:
Unaona ni sawa Magufuli kujenga uwanja wa ndege wa kiwango kile Chato?
Kama si sawa niambie kwanini.
Kama ni sawa ,,,hulazimiki kueleza ni kwanini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
P
 
Mkuu Kiranga , despite each and everything, he deserves respect. Hata tulimtukama akiwa hai, sasa tusimtukane tena!. Ndio Uafrika, ndio Utanzania, ongea mazuri kumhusu marehemu.
P
Kama aina ya wasomi wenyewe ndio kama wewe ni kheri Mzungu arudi kuchukua koloni lake tu...
 
Huyu hajakulia usukumani au ansjifurahisha kuandika tu. Tuliofika na kufanya kazi usukumani tulijionea ugumu ulioko huko. Msukuma anaamini kuwa yeye ndiye binadamu tu mwenye haki na kila kitu. Mfano atakushangaa katika umri wake wewe kutokujua lugha ya kisukuma. Kila Mara atakuongelesha kisukuma na Kama hukijui Basi atakudharau Sana . Hivyo tu
 
Mayala naomba ujibu hili swali:
Unaona ni sawa Magufuli kujenga uwanja wa ndege wa kiwango kile Chato?
Kama si sawa niambie kwanini.
Kama ni sawa ,,,hulazimiki kueleza ni kwanini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Chato wanaishi wananchi gani?

Geita kama mkoa ina uwanja wapi wa ndege?

Nani anayeweza kuacha kwao ilihali ameweza kutengeneza kwingine? waTanzania wengi akili hamna,hii nchi ni kubwa na kila tabaka linahitaji,sasa ukiwa muwamba ngoma au roho mbaya za kishenzi kama wewe ndo mnaletaga maneno yasiyo stahili
 
Wasukuma as a community ni loving, acceptable, accommodating na lovable.
Wasukuma original
Bomani.....
Makani...
Na wengine wengi.
Cheki tabia zao!


Jidu hata mwezi bado mnamkana ndugu yenu? [emoji14][emoji14][emoji14]

Hata sisi tulizani ni hivyo kuwa wasukuma ni lovable, acceptable and accommodating lakini kumbe huo haukuwa uhalisia [emoji108][emoji108]

Kupitia jamaa yenu tumeweza kuwafahamu vizuri jinsi mlivyo kuwa ni watu wa namna gani nyie wasukuma !

Kwa kweli tunamshukuru Mungu kwa kila jambo na tumeona mengi na kuwafahamu jinsi mlivyo kiuhalisia.

Ujinga wakati wa kwenda kurudi werevu!
 
Ukabila utawatoaa nyie viumbe makes
Ningekuwa na uwezo ningefutilia mbali
Makabila yote

Ova
 
Hivi uzi wa kaka pascal leo utakana maana mwendazake kaondoka kama walivofanya wenzake
 
Yule si msukuma!
Wasukuma hawako vile.
 
Shujaa wa Afrika kakuacha solemba....jisogeze kwa mama sasa.
 

Unajua kampeni yenu haitafanikiwa. Nimeiona:-

1. Mtaka kuleta ukabila. Udini , Ukanda.Haitafanikiwa muulize mtu yoyote wasukuma wameoa makabila, dini, kanda nyingine zaidi kuliko yote. Kwa hiyo influence yao ni kubwa sana Tanzania kwa sababu makabila mengine mengi ni sehemu ya familia zao.

2. Sera ni matusi kejeli, kebehi, uongo, kupinga kila kitu alichokifanya kumpaka matope. Haiwezi kusaidia kushinda uchaguzi wowote. Vijiweni utashangiliwa.

JF ni kijiwe sasa hivi. Hata baba zenu, mama, ndugu zenu wanaojiheshimu hamtapata kura zao.

Yaani ilibidi mpange strategies jinsi ya kuwafikia Watanzania wengi. Watu 500 mnatumia hizi mbinu kupongezana. Ni kama preacher, preaching to the Choir. Instead of going out and find new members.

Mnataka Democracy hamuwezi kuvumilia maoni tofauti hapa JF, mkipewa Rungu (dola) itakuwaje?

Nenda Youtube, Insta, Facebook, utaona ukweli. 90% wanajua kazi yake.
 
Yule si msukuma!
Wasukuma hawako vile.
Wasukuma wana- accomodate wengine. Hata kama baba amekuja kutoka nchi nyingine ukazaliwa pale ukaoa msukuma. Unazungumza kisukuma. Wenyewe wanakuona ni msukuma.

Shinyanga, Mwanza, Tabora Geita, Simiyu, wapo watu wenye asili ya Waarabu, Wasomali, Waganda, Watu wa Rwanda, Burundi na DRC.

Pia wako Bukoba, Katavi, Rukwa, Zambia, Rwanda, Ruvuma. Singida. Wanatembea sana kutafuta malisho mazuri ya Mifugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…