Tuhuma zinazobuniwa na upinzani zimeanza kuwatokea puani wenyewe, wananchi wakosa imani nao

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.

Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya kuwaletea wanainchi maendeleo, ispokua kubuni tuhuma za uongo, uzushi na za kusadikika, ambazo zimewafanya wanainchi kutowaamini tena wapinzani wala kuwatilia maanani kwamba eti wana uwezo au nia ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kumbe wana chuki binafsi tu, dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa waTanzania.

Mfano mzuri ni kutoka kwa watu wa maana sana wa Itigi, kumpuuza kiongozi wa upinzani aliejaribu kuanza kuwahadithia stori ya tuhuma za kusadikika ambazo sio shida za watu wa Itigi....

waTanzania wanataka maji, afya , elimu, umeme, barabara nzuri, masoko ya bidhaa na huduma, lakini pia wanataka pembejeo za kisasa za kilimo, uvuvi na ufugaji.

WaTanzania wanataka ulinzi na usalama wao na mali zao. wanahitaji amani na utulivu wanapofanya kazi na majukumu yao ya kila siku kujipatia riziki.

WaTanzania hawahitaji wala hawana haja na mlolongo wa tuhuma za kusadikika, za kubuni na za kupika uongo zinazochochewa na chuki binafsi, hasira na ghadabu za kukataliwa na wanainchi kila mkutano wa hadhara au uchaguzi.

Ni Faraja ya kipekee sana, kuona waTanzania wameanza kuacha kupoteza muda wao kwenda kuskiza stori na porojo ambazo hazina, na haijawahi kuleta matokeo wala uelekeo wa kumsaidia mwananchi, bali kinachooneka ni chuki binafsi, wivu na kukosa hoja, dira na uelekeo wa pamoja....

Ukata wa pesa za kufanyia mikutano ya hadhara, na pesa kwaajili ya kampeni za uchaguzi, zinawavuruga zaidi, na kunazidisha kudharauliwa na kupuuzwa zaidi na wananchi wanapofanya mikutano yao iliyozorota sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
 
wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku....

hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja ,sera, nia wala mikakati mbadala ya kuwaletea wanainchi maendeleo, ispokua kubuni tuhuma za uongo, uzushi na za kusadikika, ambazo zimewafanya wanainchi kutowaamini tena wapinzani wala kuwatilia maanani kwamba eti wana uwezo au nia ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kumbe wana chuki binafsi tu, dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa waTanzania....

waTanzania wanataka maji, afya , elimu, umeme, barabara nzuri, masoko ya bidhaa na huduma, lakini pia wanataka pembejeo za kisasa za kilimo, uvuvi na ufugaji...

waTanzania wanataka ulinzi na usalama wao na mali zao. wanahitaji amani na utulivu wanapofanya kazi na majukumu yao ya kila siku kujipatia riziki....

waTanzania hawahitaji wala hawana haja na mlolongo wa tuhuma za kusadikika, za kubuni na za kupika uongo zinazochochewa na chuki binafsi, hasira na ghadabu za kukataliwa na wanainchi kila mkutano wa hadhara au uchaguzi....

ni Faraja ya kipekee sana, kuona
waTanzania wameanza kuacha kupoteza muda wao kwenda kuskiza stori na porojo ambazo hazina, na haijawahi kuleta matokeo wala uelekeo wa kumsaidia mwananchi, bali kinachooneka ni chuki binafsi, wivu na kukosa hoja, dira na uelekeo wa pamoja....

ukata wa pesa za kufanyia mikutano ya hadhara, na pesa kwaajili ya kampeni za uchaguzi, zinawavuruga zaidi, na kunazidisha kudharauliwa na kupuuzwa zaidi na wananchi wanapofanya mikutano yao iliyozorota sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Utasema yote kenge mkubwa wewe! Lazima ufisadi uwatokee puani!
 
kwa mihemko hiyo,
mpaka utukane matusi yote ulofundishwa na chama chako, na yale unayobuni kwa kipaji chako 🐒

tutasema ukweli daima bila kuchoka, kukata tamaa au kuidhoofishwa kwa mihemko na matusi ya reja reja ambayo completely ni nonsense na useless 🐒
 
wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku....

hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja ,sera, nia wala mikakati mbadala ya kuwaletea wanainchi maendeleo, ispokua kubuni tuhuma za uongo, uzushi na za kusadikika, ambazo zimewafanya wanainchi kutowaamini tena wapinzani wala kuwatilia maanani kwamba eti wana uwezo au nia ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kumbe wana chuki binafsi tu, dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa waTanzania....

Mfano mzuri ni kutoka kwa watu wa maana sana wa Itigi, kumpuuza kiongozi wa upinzani aliejaribu kuanza kuwahadithia stori ya tuhuma za kusadikika ambazo sio shida za watu wa Itigi....

waTanzania wanataka maji, afya , elimu, umeme, barabara nzuri, masoko ya bidhaa na huduma, lakini pia wanataka pembejeo za kisasa za kilimo, uvuvi na ufugaji...

waTanzania wanataka ulinzi na usalama wao na mali zao. wanahitaji amani na utulivu wanapofanya kazi na majukumu yao ya kila siku kujipatia riziki....

waTanzania hawahitaji wala hawana haja na mlolongo wa tuhuma za kusadikika, za kubuni na za kupika uongo zinazochochewa na chuki binafsi, hasira na ghadabu za kukataliwa na wanainchi kila mkutano wa hadhara au uchaguzi....

ni Faraja ya kipekee sana, kuona
waTanzania wameanza kuacha kupoteza muda wao kwenda kuskiza stori na porojo ambazo hazina, na haijawahi kuleta matokeo wala uelekeo wa kumsaidia mwananchi, bali kinachooneka ni chuki binafsi, wivu na kukosa hoja, dira na uelekeo wa pamoja....

ukata wa pesa za kufanyia mikutano ya hadhara, na pesa kwaajili ya kampeni za uchaguzi, zinawavuruga zaidi, na kunazidisha kudharauliwa na kupuuzwa zaidi na wananchi wanapofanya mikutano yao iliyozorota sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Hivi unakielewa urichokiandika wewe KADA? Msaidizi wa majambazi ya Lumumba
 
Una uhakika mkuu?
Itigi walitoa somo la kipekee sana kupuuza porojo na stori za tuhuma za mchongo, wakamwambia hizo sio shida zetu gubu zako na unaowatuhumu mkamalizane huko huko...

sisi tunataka ueleze mambo ya maji, afya,elimu, kilimo, biashara, ufugaji, usafirishaji, ulinzi, usalama n.k. wewe utafanyaje tusonge mbele?🐒
 
😀😀siasa ni mchezo wa bra bra kama ilivo tlah tlah
hakuna uchafu wowote kwenye siasa daktari Santos,

siasa ni kujipanga tu my friend na kueleza ukweli,

sasa makamanda wananitusi bure tu mimi hapo chini wana acha kujadili hoja ya maana kama hii,

na kwavile mimi ni kiongozi muadilifu, mnyonge mno, lakini mchapa kazi mwenye bidii asie choka wala kukata tamaa, na asie sistahili chochote mbele ya yeyote, nawaelekeza tu kwa upole, heshima na upendo, bila mbambamba yoyote, kwasabb naamini kwa Neema na Baraka za Mungu pole pole, moja moja lazima watanielewa 🐒

hii siasa hii,
hahitaji hasira, mihemko wala haraka 🐒
 
Saivi tunazungumza swala la bashe na mpina tunaomba kuona hatua zinachukuliwa sio kuleta maswala ya upinzani hapa ambao hawana serikali! Zungumzia madudu yaliyo kwenye serikali hii
nikuhakikishie ndugu mwanainchi,

usipotoshwe na porojo za tuhuma za kubuni na kupikwa kutoka kwa waliokosa uelekeo....

hakuna ufisadi wala chembe ya ubadhirifu ikimuhusisha very able, hard worker, vibrant and very focused waziri makini kama kijana ulie mtaja 🐒

so,
ushauri wangu kwako ni kwamba, epuka kupotoshwa na wenye chuki na ghadhabu binafsi dhidi ya wanasiasa waliokosa uelekeo na wanayopitia hali ngumu ya kisiasa kuelekea 2025🐒
 
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.

Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya kuwaletea wanainchi maendeleo, ispokua kubuni tuhuma za uongo, uzushi na za kusadikika, ambazo zimewafanya wanainchi kutowaamini tena wapinzani wala kuwatilia maanani kwamba eti wana uwezo au nia ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kumbe wana chuki binafsi tu, dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa waTanzania.

Mfano mzuri ni kutoka kwa watu wa maana sana wa Itigi, kumpuuza kiongozi wa upinzani aliejaribu kuanza kuwahadithia stori ya tuhuma za kusadikika ambazo sio shida za watu wa Itigi....

waTanzania wanataka maji, afya , elimu, umeme, barabara nzuri, masoko ya bidhaa na huduma, lakini pia wanataka pembejeo za kisasa za kilimo, uvuvi na ufugaji.

WaTanzania wanataka ulinzi na usalama wao na mali zao. wanahitaji amani na utulivu wanapofanya kazi na majukumu yao ya kila siku kujipatia riziki.

WaTanzania hawahitaji wala hawana haja na mlolongo wa tuhuma za kusadikika, za kubuni na za kupika uongo zinazochochewa na chuki binafsi, hasira na ghadabu za kukataliwa na wanainchi kila mkutano wa hadhara au uchaguzi.

Ni Faraja ya kipekee sana, kuona waTanzania wameanza kuacha kupoteza muda wao kwenda kuskiza stori na porojo ambazo hazina, na haijawahi kuleta matokeo wala uelekeo wa kumsaidia mwananchi, bali kinachooneka ni chuki binafsi, wivu na kukosa hoja, dira na uelekeo wa pamoja....

Ukata wa pesa za kufanyia mikutano ya hadhara, na pesa kwaajili ya kampeni za uchaguzi, zinawavuruga zaidi, na kunazidisha kudharauliwa na kupuuzwa zaidi na wananchi wanapofanya mikutano yao iliyozorota sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Hivi une elimu gani wewe jamaa? au ndio wale miongoni mwa mlioahidiwa vyeo na CCM, maana inashangaza kuona mtanzania aliyempuuzi kama wewe kuona kwamba wanachokifanya kina Lissu kuwa hakina maana katika jamii aisee unashangaza sana umma, na vipi kuhusu Luhaga Mpina naye ni mpinzani? mbona amelizungumzia hili sakata la aibu la sukari, kwa hiyo unataka kutwambia kuwa watu wa Itigi wao sukari hawatumii na haipo katika mahitaji yao? Jamaa acha kutumika mithili ya kondomu au toilet paper, haya yanayofanywa na hawa wasakatonge wa CCM wewe unanufaikaje nayo wakati kuna vijiji havina zahanati, wala maji safi na salama lkn kwa kuwa akili yako ni fupi kama maisha ya funza unaona hiki kinachofanywa na viongozi wenu wadhaifu kuwa ni jambo sahihi ila kuna wakati muda utaamua kwenye hili.
 
N
nikuhakikishie ndugu mwanainchi,

usipotoshwe na porojo za tuhuma za kubuni na kupikwa kutoka kwa waliokosa uelekeo....

hakuna ufisadi wala chembe ya ubadhirifu ikimuhusisha very able, hard worker, vibrant and very focused waziri makini kama kijana ulie mtaja 🐒

so,
ushauri wangu kwako ni kwamba, epuka kupotoshwa na wenye chuki na ghadhabu binafsi dhidi ya wanasiasa waliokosa uelekeo na wanayopitia hali ngumu ya kisiasa kuelekea 2025🐒
Naomba evidence kwa nini mtu anapotosha na serikali inamuacha???? Basi mchukulieni hatua
 
Watanganyika wanahitaji ardhi zao na rasilimali zao wamiliki wenyewe. Watanganyika hawaitaki ccm maana imejaa wezi , wala rushwa , mafisadi na kila aina ya uchafu .
 
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.

Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya kuwaletea wanainchi maendeleo, ispokua kubuni tuhuma za uongo, uzushi na za kusadikika, ambazo zimewafanya wanainchi kutowaamini tena wapinzani wala kuwatilia maanani kwamba eti wana uwezo au nia ya kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi, kumbe wana chuki binafsi tu, dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa waTanzania.

Mfano mzuri ni kutoka kwa watu wa maana sana wa Itigi, kumpuuza kiongozi wa upinzani aliejaribu kuanza kuwahadithia stori ya tuhuma za kusadikika ambazo sio shida za watu wa Itigi....

waTanzania wanataka maji, afya , elimu, umeme, barabara nzuri, masoko ya bidhaa na huduma, lakini pia wanataka pembejeo za kisasa za kilimo, uvuvi na ufugaji.

WaTanzania wanataka ulinzi na usalama wao na mali zao. wanahitaji amani na utulivu wanapofanya kazi na majukumu yao ya kila siku kujipatia riziki.

WaTanzania hawahitaji wala hawana haja na mlolongo wa tuhuma za kusadikika, za kubuni na za kupika uongo zinazochochewa na chuki binafsi, hasira na ghadabu za kukataliwa na wanainchi kila mkutano wa hadhara au uchaguzi.

Ni Faraja ya kipekee sana, kuona waTanzania wameanza kuacha kupoteza muda wao kwenda kuskiza stori na porojo ambazo hazina, na haijawahi kuleta matokeo wala uelekeo wa kumsaidia mwananchi, bali kinachooneka ni chuki binafsi, wivu na kukosa hoja, dira na uelekeo wa pamoja....

Ukata wa pesa za kufanyia mikutano ya hadhara, na pesa kwaajili ya kampeni za uchaguzi, zinawavuruga zaidi, na kunazidisha kudharauliwa na kupuuzwa zaidi na wananchi wanapofanya mikutano yao iliyozorota sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Unachekesha dogo!

,hao Wananchi watakuwaje salama kama viongozi ni Wala rushwa

Maendeleo watayapata vipi kama viongozi ni Wala rushwa

Nchi imejaa tozo Kila mahali na bei ya sukari ni tsh 6000 badala ya tsh 2500 sanmba u ya rushwa

Alafu Kuna chawa anakuja huumu kuandika upuuzi
 
Back
Top Bottom