Tuhuma zinazobuniwa na upinzani zimeanza kuwatokea puani wenyewe, wananchi wakosa imani nao

Sasa hapo ndiyo umeonyesha nini? Si ungetaja jambo la kubuni lililosemwa (concrete) na wananchi wakalipuuza? Vinginevyo wewe ndiye unayebuni. Pili mimi sina chama, ila huwa nataka 'fairness' na tukisema jambo tuwe na justification ya kusema hilo tunalolisema. Kwa maneno mengine, tujiepushe na umbra, porojo, uwongo na kujikombakomba. Tuwe serious na smart/intelligent/critical thinkers tunaochambua hoja au kutoa maoni bila kuegemea upande. Tuwe straight!
ungesoma kwa makini na uangalifu bila mihemko ungeona kila kitu kwa fikra za uangavu wa kutosha na ndipo sasa, hata ungeelewa nilichoandika vizuri zaid kuhusu ubunifu wa kutunga tuhuma za uongo, uzushi, porojo zilizoelekezwa kwa baadhi ya waandamizi serikalini kwa chuki binafsi, muhusika wa porojo hizo akidhani anae mtuhumu ndie alie mchomea akatoswa kwenye baraza la mawaziri alilokua akihudumu awali, huyo mtoa tuhuma za uongo, uzushi na kubuni 🐒
 
Itigi walitoa somo la kipekee sana kupuuza porojo na stori za tuhuma za mchongo, wakamwambia hizo sio shida zetu gubu zako na unaowatuhumu mkamalizane huko huko...

sisi tunataka ueleze mambo ya maji, afya,elimu, kilimo, biashara, ufugaji, usafirishaji, ulinzi, usalama n.k. wewe utafanyaje tusonge mbele?🐒
Kwa hiyo anaowasema Lissu hawajapeleka afya,elimu,kilimo,biashara,ufugaji,usafrishaji,ulinzi,usalama nk.

Wanaishije hao watu? Miaka 60 wako chini ya serikali na chama kilekile ambacho hawajakipuuza bali wamempuuza Lissu!

Kama wanataka Lissu aeleze kuhusu hayo viongozi wao huzungumzia yapi?
 
basi jamaa, ajitahidi kubuni tuhuma nyingi zaid,
maana ndizo wanainchi hususan wa Itigi wanazihitaji kuliko kitu kingine chochote, na wanahamu nazo kweli kweli ili zirahisishe maisha yao ya kila siku, na mambo yao yawe bam bam zaid 🐒
 
ungesoma kwa makini na uangalifu bila mihemko ungeona kila kitu kwa fikra za uangavu wa kutosha na ndipo sasa, hata ungeelewa nilichoandika vizuri zaid kuhusu ubunifu wa kutunga tuhuma za uongo, uzushi, porojo zilizoelekezwa kwa baadhi ya waandamizi serikalini kwa chuki binafsi, muhusika wa porojo hizo akidhani anae mtuhumu ndie alie mchomea akatoswa kwenye baraza la mawaziri alilokua akihudumu awali, huyo mtoa tuhuma za uongo, uzushi na kubuni 🐒
Kama wewe msemaji mwenyewe umeshindwa kuonyesha mifano concrete, mimi ndiye nitakayeweza kuonyesha hiyo mifano ya kubuni?
 
yaan mimi nikuonyeshe uongo na uzushi uliobuniwa na huyo jamaa anaechochewa na hasira za kutoswa serikalini 🤣

nikueleze wewe uongo katika unyonge ulio nao, kweli? usinichochee nitende dhambi yao uongo kwa uzushi wa wenye kiburi na jeuri...
hiyo siwezi kuthubutu hata kidogo gentleman, plz 🐒
 
Aha! Kama huna hiyo mifano, huoni kama na wewe unabuni uwongo?
 
Back
Top Bottom