Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
ungesoma kwa makini na uangalifu bila mihemko ungeona kila kitu kwa fikra za uangavu wa kutosha na ndipo sasa, hata ungeelewa nilichoandika vizuri zaid kuhusu ubunifu wa kutunga tuhuma za uongo, uzushi, porojo zilizoelekezwa kwa baadhi ya waandamizi serikalini kwa chuki binafsi, muhusika wa porojo hizo akidhani anae mtuhumu ndie alie mchomea akatoswa kwenye baraza la mawaziri alilokua akihudumu awali, huyo mtoa tuhuma za uongo, uzushi na kubuni 🐒Sasa hapo ndiyo umeonyesha nini? Si ungetaja jambo la kubuni lililosemwa (concrete) na wananchi wakalipuuza? Vinginevyo wewe ndiye unayebuni. Pili mimi sina chama, ila huwa nataka 'fairness' na tukisema jambo tuwe na justification ya kusema hilo tunalolisema. Kwa maneno mengine, tujiepushe na umbra, porojo, uwongo na kujikombakomba. Tuwe serious na smart/intelligent/critical thinkers tunaochambua hoja au kutoa maoni bila kuegemea upande. Tuwe straight!