Tuhuma zinazobuniwa na upinzani zimeanza kuwatokea puani wenyewe, wananchi wakosa imani nao

Yaani mimi hapa nisiweze kuutambua uzushi? hahaha someni kuhusu, social inference
 
tangu 77 bado mnaongelea maji
akati hata nguzo za umeme tunaambiwa hakuna
mbwa nyie
 
wewe tatizo lako dogo tu licha ya mihemko isiyo na tija....

hivi kweli hata ukimuangalia tu kwa sura, achilia mbali anachosema aliekua akuhutubia Itigi jana anaweza kufanya chochote nchi hii, zaidi ya kutuhumu watu kwa porojo za uongo namna ile, nani atamsikiliza na kumuamini mtu kama yule?πŸ’

hajawahi hata siku moja kueleza mipango, sera na mikakati yake ya atafanya nini kwenye afya, elimu, maji, barabara, kilimo biashra, ufugaji vitu ambavyo vinawagusa wanainchi mojakwamoja?πŸ’

amekomaa na kubabaika na upotoshaji, leo anamtuhumu huyu akiona hakuna makofi, anamtuhumu mwingine, akiona hashangiliwi anahamia kwa mwingine, useless kabisa kwendra huko 🀣🀣
 
Yaani mimi hapa nisiweze kuutambua uzushi? hahaha someni kuhusu, social inference
sasa apo kwenye social inference itachanganya wanainchi kidogo...

kama unaweza kukisia na kutambua uzushi hiyo ni talent gentleman πŸ’
 
Haya tukubalie hoja yako dhaifu

Je ripoti za CAG za miaka yote nazo ni uzushi?


Haya ni uongo kuwa huku kibondo tunanunua sukari sh 6000 kwa kilo??
Nini sababu ya kupanda ghafla kwa bei?
 
tangu 77 bado mnaongelea maji
akati hata nguzo za umeme tunaambiwa hakuna
mbwa nyie
mihemko ni ishara kamili ya kukosa hoja na kukata tamaa kabisaa πŸ’

mihemko haina maana yoyote,

hata hivyo chama na serikali sikivu ya CCM itaendelea kufanya kazi kwa bidii na kuboresha huduma za kijamii na kuzisogeza karibu zaidi na wananchi bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Haya tukubalie hoja yako dhaifu

Je ripoti za CAG za miaka yote nazo ni uzushi?


Haya ni uongo kuwa huku kibondo tunanunua sukari sh 6000 kwa kilo??
Nini sababu ya kupanda ghafla kwa bei?
umewahi kumsikia aliekua akuhutubia kule Itigi akizungumzia hiyo ripoti mahali popote? aliishia wap 🀣

hapendi facts anapenda uzushi na porojo na tuhuma za kubuni buni tu ndio maana hivi sasa anapuuzwa na wanainchi, omba omba yule πŸ’

hana consistency kabisa,
yupo zigzag kabisaa leo hiki kesho kile at the end of the day huwezi elewa hata anapambania nini 🀣

gentleman politics is science πŸ’
 
sasa apo kwenye social inference itachanganya wanainchi kidogo...

kama unaweza kukisia na kutambua uzushi hiyo ni talent gentleman πŸ’
Tunawatambua hata wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsi, wenye tabia ya unyumbu, (human herding)
 
Mtoa mada ni Lucas aliyepoa
Eh😲

Huyu Mbunge wetu mtarajiwa wa CCM ?

Anaenda kuongeza moto wa Mpina Bungeni. Tundu Mbowe na mabilionea wote(kasoro Lema na Heche) wa CHADEMA wakae kwa mkao wa kudhibitiwa.

CHADEMA has lost its course. Wapo wapo tu wanajiropokea.
===============

Karibu ewe mwana CHADEMA>Ongeza matusi kwenye kapu lenu la "Watukanaji"
 
Majizi ya SUKARI yanapiga nduruu...
Na majizi ya "Join the Chain" yanafanya nini....yameunda

Miropoko Orchestra Susa Susa Band.

Suseni 2025 muone🀭😌 walakini muendelee na Uropokaji, manake ndio midundo mnayoweza.
 
Kuliko kutoa 'blanket/wholesale judgement' ungeorodhesha hizo tuhuma moja baada ya nyingine za kubuni ambazo wananchi wameanza kupoteza imani kwao. Otherwise, wewe mwenyewe ndiye uliyezibuni kwa niaba yao. Nasubiri.
 
Kuliko kutoa 'blanket/wholesale judgement' ungeorodhesha hizo tuhuma moja baada ya nyingine za kubuni ambazo wananchi wameanza kupoteza imani kwao. Otherwise, wewe mwenyewe ndiye uliyezibuni kwa niaba yao. Nasubiri.
fuatilia mikitano ya viongozi wako wabuni tuhuma, na usiende mbali sana, cheki hapao itigi tu jana,
uone wananchi wanavyowapuuza viongozi wako walipotaka kuanza story na porojo za tuhuma

yani wanafanya mikutano yao sasaivi utadhani wale jamaa wanaowekaga maspika mahali popote tu penye makutano ya watu halafu wanaanza kuchapa injili huku watu wakiendelea na shughuli zao tua
 

Nakazia.
 
Sasa hapo ndiyo umeonyesha nini? Si ungetaja jambo la kubuni lililosemwa (concrete) na wananchi wakalipuuza? Vinginevyo wewe ndiye unayebuni. Pili mimi sina chama, ila huwa nataka 'fairness' na tukisema jambo tuwe na justification ya kusema hilo tunalolisema. Kwa maneno mengine, tujiepushe na umbra, porojo, uwongo na kujikombakomba. Tuwe serious na smart/intelligent/critical thinkers tunaochambua hoja au kutoa maoni bila kuegemea upande. Tuwe straight!
 

Mkuu tuweke tu akiba ya maneno!!!

βš–οΈ4Asimwe#
 
Mkuu tuweke tu akiba ya maneno!!!

βš–οΈ4Asimwe#
hapa hakuna suala la akiba,

suala ni kwamba ukweli usemwe na kuelezwa bila kuchelewa wala kumuonea yeyote haya wala aibu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…