It's okay it's okay mom, Naamini hawatofanya tena๐๐๐Mie !Wanipige tu kwani ndio mwisho wa maisha??? Afu hii juzi nikataka kuja na alternative wameipiga pin mazimaaa yaniii wamenikaliaje kooni ๐ฎ๐ฎ๐ฎ!
Hata siogopii ! Wakinipiga tena naleft mazima ๐๐๐!
Jf sio chakula useme ntakufa!
Halafu nimekua reported several times nashangaa hadi nakosa majibu walai!!
Amina amina!! Barikiwa sana!It's okay it's okay mom, Naamini hawatofanya tena๐๐๐
Lol hapo kwenye kupika sasa ๐๐๐๐๐! Narudigi nimenenepajeeee kwa kubadilisha menu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ค !!Hongera,mie kupika j5...byeee
Wanawake sisi hatuna usemi zaid ya kuwaonea huruma wananaumeHili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...๐ค Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda?
Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike mshindo. Sasa nyie kina Sadiki ndala ndefu mkishaanza kuuacha ujana ngoma nayo inalala dolo.... mpaka hapo huna Kazi tena๐ง...ee Kazi haipo ya hicho chombo.๐ค
Eti wanawake na wanaume hili mnalionaje kiundani zaidi.... tuachane na zile kujidefence, tuongelee uhalisia sasa๐คจ
Muwe na siku tulivu basi, eti?
Aah sie tukizeeka tunatafuta dogodogo๐คฃ๐คฃ๐คฃIkilala doloo๐คญ
๐คฃ๐คฃ๐คฃNgoja wakuone wahusika๐ฅด
Kumbe!Kwa hiyo mtu anaogopa kuombwa mabati na cemantiUlipokuwa na miaka 15 friction was at its best, sasa hivi friction imepungua, mbili ulipokuwa na miaka 15 hukuwa wa gharama sana (mahitaji yako yalikuwa kidogo) sasa hivi watu wanaogopa kubebeshwa majukumu mazito.
Aaah mim mwenyewe najiweza๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃWa kukusaidia sasa
Linatia kinyaa hili lidada....Unga sio kitu kizuri kwa mwanamkeKama Gigy money hali yake sasahivi, naona kambisa anaelekea kuchizika, maana kila mtu anaetaka kuwa nae hawamtaki, juzi katangaza kuwa anamtaka platform_Tz ametolewa nje, Gigy money ni single mother anaetaman sana kuolewa lakn hapati bahati [emoji23]
So!Hapana mdogo wangu Niko very comfortable ninaconcentrare na masuala ya kiuchumi zaidi.
Ni sahihi kabisa mkuuShida sio kukosa mwanaume kwa upande wa mwanamke bali majukumu ndio yanayomweka mbali na mambo ya usichana. Mwanamke akishakuwa mama , mambo ya usichana kwake anayaona hayana maana hivo muda huo anautumia kufocus na majukumu ya kulea watoto. Ikifika stage ni vigumu kwa mwanamke kuanzisha mahusiano serious na wanaume wengine mbali na mume otherwise huyo mwanamke labda awe hajitambui na hatambui majukumu na nafasi yake kijamii
Ukija upande wa mwanaume yeye hana shida anaweza kuwaanzisha mahusiano na wanawake wengi hatakama yupo ndani ya ndoa kikubwa awe na uwezo wa kuwatunza hao wanawake