ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
"Razima tuseme ukweri mkuu"🤣Jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Razima tuseme ukweri mkuu"🤣Jaman
Hata wazee nao wanataka hela zako?Wengi wanaonitongoza wataka Hela zangu na Mimi ni mchaga ni laana kuchezea mbesa
Ni kweli kabisa mkuuInategemea.
1. Wanawake wengi soko linaisha Kwa sababu ya maumbile Yao kupoteza mvuto.
Unene, michirizi, weusi wa mapaja, kulegea Kwa nyama ni miongoni mwa mambo yanayoondoa mvuto wa Mwanamke kwenye suala la ngono.
2. Wanaume ishu kubwa hapo labda ni kipato.
Lakini kwenye ishu ya uzee wanaume miili Yao imeumbwa kikakamavu hata isipotunzwa inaweza kuhimili Hali ngumu za Maisha.
Wanawake miili Yao inahitaji itunzwe muda wote na haihitaji makazi magumu magumu ili angalau idumu Kwa muda mrefu.
Kwenye uhalisia WA kiafrika, Mwanamke soko lake linapotoea mapema Kwa sababu ya Kazi ngumu, lishe Duni na Elimu ndogo ya kutunza miili Yao.
Sio ajabu Mwanamke mwenye miaka 35 tuu ambapo ni mdogo kabisa inaonekana ni aibu akivaa vinguo vifupi Kutokana na mambo yatakayoonekana ni ya kumdhalilisha badala ya kumpa fahari
Sipendi wazee nahisi kama baba yangu hivyo siwapi mazoeaHata wazee nao wanataka hela zako?
🤣🤣🤣🤣wanajifanya wajanja eti🤣🤣🤣Chuma ulete
Onho, Sawasawa mkuu😊Kuna vitu vinachekesha na kushangaza sana yaani mimi nifike 40 niwe financially stable, healthy, strong.
Alafu nitongoze videmu vya chuo vya kipindi hicho unategemea watanikataa 🙂🙂🙂.
No way mtoa mada kuna 2
1.huna exposure
2. Ww ni singo maza huna soko na umri umeenda.
Pole yako mada yako ina uongo sana.
N.b jiulize kwann wanaume wengi above 40+ wanapendwa sana na wanawake wadogo?
Na 40 yangu nisijue lengo la mtu Kweli😅😅😅niUmewashtukia
Unadhani Sina basi?ninae wa kuninyoosha mgongo ila ana kwake😅😅😅😅Ila utapata tu,we tulia mom
🤣🤣🤣🤣🤣🤣UmetishaNilivyokuwa na miaka 15nilikuwa natongozwa mara 2-4 Kwa siku,Sasa nina 40 natongozwa mara 0-1 Kwa mwezi....eti Kwa Nini?
Kuvutia sura au?Kuondoka sokoni kwa mwanaume ni kufariki tuu, tofauti na hapo ni moto kwa kwenda mbele, tukiwa wakweli kabisa mwanamke akisha fika miaka 40 kwenda mbele anakua havutii tena, ni wachache wanao fika umri huo alafu wakawa na mvuto angalau wa kushawishi macho tuu
Sio wazee wa 60 bwana we, wazee wa 45 hivi mkuu!!Sipendi wazee nahisi kama baba yangu hivyo siwapi mazoea