Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini

Hapo sasa ndiyo wataalamu wa mipango wanahitajika. Na mpango mzuri wowote lazima una chapter ya RISK MANAGEMENT FRAMEWORK. Hii hujaribu kutabiri vihatarishi vinavyoweza kuukwamisha mradi na namna ya kuvikwepa. Kama vihatarishi ni vingi kiasi cha kuweka kuufanya mradi usifanikiwe basi wataalamu hutoa ushauri chanya.
 

Taifa lolote pasipo mashauri lazima litaangamia.
Ujuaji mwingi maanguko mbele
 

Umeweka kisu kwenye mfupa.
 

Huwezi mshauri mjuaji anaejua KILA kitu kumbe ni empty kabisa.
 
Huwezi ukainua uchumi kwa kukopa na kuwekeza kwenye macro economic ambazo zote tayari Zina mbadala wake.
Why SGR na sio kuboresha reli ya zamani, mabwawa ya zamani kwa kuondoa tope kwenye mabwawa na kufunga mota mpya za kisasa zitumiazo maji kidogo umeme mwingi.
Hizo pesa za kwenye miradi isiyo na chance ya kukamilika Kama zingewekezwa kwenye kilimo ndani ya miaka 3 zingesharudi Mara tatu huku zingetoa ajira milioni 12 na kumaliza kabisa tatizo la ajira kwa vijana,huku pesa nyingi Sana za kigeni tungepata, makusanyo ya Kodi yangekuwa makubwa Sana then ndo tufanye miradi hio.
Check Malaysia waling'oa mpira wakapanda michikichi tu mbegu walichukua afrika na leo ni exporter tegeo wakubwa duniani wa mafuta ya kula na wanapata pesa nyingi Sana zilizokuza uchumi wao.
Sisi mapori yamejaa kufugia nyoka tu Hali wananchi dhoofu Hali. Ni sahihi kwetu kununua ndege inayoajiri watu 30 badala ya pesa hio ya ndege kuwekeza kwenye kilimo ikaajiri watu milioni 5 kwa thamani ya dreamliner moja tu ni sawa na ajira milioni 5 tena endelevu kwa kiongozi mchumi.
 
Corona isiwe kimbilio la lawama mambo yaliharibika hata before coronavirus
 

You can't propaganda people all of time.Mafuta na maji hata uyachanganye vipi kwa kuyakoroga yakitulia yatajitenga tu.
Propaganda na reality ni vitu viwili tofauti
 
usipende sana kuropoka ovyo ovyo sisi wenyewe tunaona hadi wanamulika kwa taa za magari usiku kazi mpaka saa nne usiku we unaropoka ovyoovyo
 
Umesikia wapi mwizi wa kura akajali ahadi?!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hayo matatizo mawili ya njaa na unafiki nayajua, unaweza kinifafanulia hilo tatizo la mwisho la "nyege"
We angalia hata viongozi wanafanya maamuzi ya kijinga kwasababu ya kuwaridhisha mademu zao. Angalia viti maalum, angalia viongozi wa upinzania na chama tawala. Wamefanya mambo ya kijinga sana na kugawa vyeo kwa wanawake ambao hata uwezo hawana. Yote hiyo ni nyege tu.
 
Actually hata kiwango cha ujenzi wa mtu mmoja mmoja kwenye jamii kimeshuka sana!

Kuthibitisha hilo kafanye simple survey kwa wauza vifaa vya ujenzi utapata takwimu watakwambia jinsi mauzo yao yakivyoshuka ukilinganisha na kipindi cha nyuma!
 
Kumbuka kuna swala la korona ambalo limeharibu kabisa uchumi wa dunia, inavyoonekana dunia inapita kwenye nyakati mpya na inaweza isirudi kwenye hali ya kawaida..
 
Fedha ndiyo tatizo.
 
Kumbuka kuna swala la korona ambalo limeharibu kabisa uchumi wa dunia, inavyoonekana dunia inapita kwenye nyakati mpya na inaweza isirudi kwenye hali ya kawaida..
Korona ina miezi sita tu, ila mambo kwetu yalianza kuwa mabaya kabla ya corona.
 

Afu mchoro kabla na tunavyo viona ni vitu viwili tofauti aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…