Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Wanaenda kiherufi
1. Cupcake 1.5
2.Donat 1.6
3.Eclair 2.0
4.Froyo 2.2
5.Gingerbread 2.3
6.Honeycomb 3.0
7.Ice cream sandwich 4.0
8.Jelly bean 4.1 - 4.3.1
9.Kit Kat 4.4 - 4.4.4
10.Lollipop 5.0 - 5.1.1
11.Marshmalow 6.0 - 6.0.1
13.Nougat 7.0 - 7.1
14.Oreo 8.0 - 8.1
15.Pie 9.0
16.Android 10(Najua utauliza mbona Q wameruka?
 
Hata mimi nashangaa watu wanavyosema ios ina security na ni kama kigezo cha kununua simu! Wakati kuna hacking zimekuwa zikitokea mara kadha. ios ni nzuri tatizo wanaipandisha thamani kuzidi uwezo kwa hiyo security linakuwa ni jambo la kufikirika zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya security ni hoja ya hovyo simu zote smart phone ziko vulnerable na security flaws kibao.

Usipende kudanganya na hoja nyepesi kama hiyo.

Eti security.
 
Hoja ya security ni hoja ya hovyo simu zote smart phone ziko vulnerable na security flaws kibao.

Usipende kudanganya na hoja nyepesi kama hiyo.

Eti security.
Hakuna kitu ambacho kiko secured 100% hakuna, lakini tukicompare hizo platforms mbili android na iOS, iOS iko more secure kuliko android kama ukiamua kubisha ni vile tu umeamua kubisha
 
Lakini ilikuwa easy kuwa compromised kupitia rooting kitu ambacho jailbreaking kwa iphone imeanza kuwa ngumu zamani sana.
Halafu apple hjaanza kuwa behind leo uwa hana tendency ya kukurupukia mambo mfano mpaka leo hajatoa laptops zenye display touch
Hii nayo unaona ni sifa eti mbona apple hajatoa taptop za touch? Ujinga ni mzigo.

Waumini wa apple hawana tofauti na waumini wa Gwajima. Wao hata Gwajima afanyeujinga watamsifia tu na baadae akija kubadilisha huo ujinga bado watamsifia tu. Ndio maana wanaitwa Isheep, wa hata apple atengeneze mavi ayaite Imavi watayasifia.

Hivi baadae apple akitoa laptop zenye touch pia utawasifia? Na atatoa soon awapige makondoo wake bei mfurahi na kumsifia tena.
 
Kwa taarifa yako si kwmba natumia iPhone, nilishaaha kutumia iphone natumia samsung, na wala there is no where niliposema ni sifa, ila nimemjibu kuwa apple kubaki nyuma hawajaanza leo nidyo maana mpaka leo hawajatoa hata laptop yenye display touch... ukiuliza kwanini unadhani wanashindwa?
Ila apple ana kanuni ya kutotoa kitu mpaka kiwe na matumizi maalum, ndiyo maana kwenye laptop ye kaishia tu kuweka touch panel wa ajili ya madj na artists ambayo ime prove kuwa essential najua huwezi hata kuelewa ninacheleza.
 
Zamani hizi hizi zilikua na majina kama gingerbread, kitkat, nougat, Oreo n.k, lin naona saivi zinaitwa kwa nambari..

sent from Samsung Galaxy A30
 
Nina samsung s7 edge android version ni 7(Nougat) swali ni kuwa inapokea version nyingine zaidi ya hapo chief?
 
Nina samsung s7 edge android version ni 7(Nougat) swali ni kuwa inapokea version nyingine zaidi ya hapo chief?
Ndio inapokea, ila angalia model kwanza international version ndio hupata Auto updates ukiwa tanzania, model nyengine hadi ufanye manual updates
 
Unataka "developer" wafanye kazi gani mkuu kama waki-develop unakunja roho?
 
Simu ina shida. Ila ww unaitumia kwa 30% watu wanaotumia kwa atleast 70% ungejua. Unweza kuta hata game huwa huchezi, hushei files kwa bluetooth na Wifi direct, hufanyi multi tasking, sasa hizo bugs utaziona saa ngapi, ukiwa superbuser ndio utajua matatizo ya simu yako, ila kama upi wutsup na kupiga simu na picha huwez ona hayo yote
Alafu unakuta sababu pekee ya ku-update wanayokwambia ni 'Fix bug' au 'Make your device run smooth' wakati simu yangu haina shida hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Au mnasemaje mods wa JF
 
Una root phone ili iweje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Apple amefanikiwa kutengeneza "Ecosystem" yake ambayo Google hawawezi na hawataweza kutengeneza na kufanikiwa.

Kuanzia hardware hadi software, apple ameshamaliza kote huko na sasa anaboresha tu.

Pia apple sio kwamba yupo nyuma, haoni haja ya kukimbilia tech ambayo haihitajiki kwa wakati huo.

Samsung alileta 5G toka version ya mwaka jana ili hali installation ya 5G haijafanyika hata kwenye miji mikubwa.

Kwanini ukimbilie kujaza mivitu ambayo watu hawahitaji.?

Sidhani kama apple wapo nyuma as you say it. Ila hakujazii gimmicks kama Samsung au baadhi ya simu za android wanavyofanya.

Kwenye camera iphone hana mpinzani sasa.

Kwenye battery life, iphone yupo juu among flagships.

A13 bionic chips is more efficient kuliko chip zilizopo sokoni sasa.

Kwenye display iphone ndio ina lag.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…