Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Mwanamziki yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Window iact kama Linux kivp? mbona unacho andika hakipo? kwani Windows anavyo kubali kupair na Android ndio window imeact kama android? tatizo ni kukubali kuinteruct na wengine
 
I see natumia simu yangu sana...Games ninazo nne mojawapo ikiwa Pub G mobile.Unachosema ni kweli ila kama mtu anamiliki simu kwa ajili ya matumizi uliyoyataja hapo ana haja gani ya kupata updates?..mfano mtu yupo kijijini na lengo la kuwa na simu ni kupiga kuwasiliana kwa calls na text tu...updates zamfaa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best performance smart phone ni MI 10, check YouTube compare to iPhone pro max yenye a13 cpu na pia hiyo iPhone haipo hata top 20.

Source: Best Smartphones - May 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Window iact kama Linux kivp? mbona unacho andika hakipo? kwani Windows anavyo kubali kupair na Android ndio window imeact kama android? tatizo ni kukubali kuinteruct na wengine
Hivi umeelewa nilichokiandika au umejibu tu?
Ninarudia ukitumia iOS ukiwa na mawazo ya android lazima uione mbaya that is the same kwa waliozoea kutumia iOS waiamia android na mawazo ya iOS wanaiona Android haifai. Ukihamia iOS hamia ukijua limitations zake ndiyo difference iliyopo na ndicho kinachoifanya iwe na hiyo fanbase yake. Vitu mnavyo argue kwa for the class ambayo iOS kailenga na for security reasons siyo vya msingi sijui kuhamisha nyimbo kwa blutooth, sijui kutodownload nyimbo mpaka itunes, ni vitu ambayo kwa walengwa wa iOS kama nyimbo watanunua itunes na kuhamisha nyimbo kwa blutooth ni mambo yaliyopitwa na wakati.
Personally natumia Samsung, kwa muda sasa lakini sijawahi hamisha nyimbo kwa blutooth hata siku moja.
And by the way ukiwa na simu ya android ukanunua simu ya iphone mpya unaweza kuhamisha kila kitu kasoro mziki kutoka android phone yako kuja iphone wakati wa setup.
Kuna vitu vichache tu ambavyo kwa apple naona ka lack behid ambavyo ni vya msingi kama screen mirrroring imemchukua sana muda kufanya hiyo kitu. Lakini malalamiko mengine siyo ya msingi.
 
We unaishi dunia ya wapi?

Hizo updates zinatolewa kila mwisho wa mwaka.

Hata Iphone nao wanafanya hivo.
 
Mkuu mimi nina muda kidogo sijatumia iphone. Lakini by then ilikuwa nikihitaji wimbo au video yoyote. Basi naunganisha na itunes kwenye computer then nahamisha. Sijajua kama nowadays mambo yamebadilika.
 
Ipo inafanya kazi mimi natumia na nina ios 13.4.1
 
Kwenye camera hana mpinzani kwenye video. Ila kwenye picha ni trash ukilinganiaha na baadhi ya simu
 
Shame on you we unaona Android ndo zinapitwa na Wakati tu au sio

Unataka kusema hujui what happened? mpaka izo iphone 6 sasa ivi znauzwa laki tatu mtaani imekuwaje?
 
Mkuu mimi nina muda kidogo sijatumia iphone. Lakini by then ilikuwa nikihitaji wimbo au video yoyote. Basi naunganisha na itunes kwenye computer then nahamisha. Sijajua kama nowadays mambo yamebadilika.
Siku hizi kuna Spotify, Deezer, Apple Music.

Mambo ya kuhama na nyimbo waachie wasukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shame on you we unaona Android ndo zinapitwa na Wakati tu au sio

Unataka kusema hujui what happened? mpaka izo iphone 6 sasa ivi znauzwa laki tatu mtaani imekuwaje?
Refub za Makumbusho hata kwa 250K unaipata.

Ukienda duka la authorized dealer wa apple, hiyo simu utainunua si chini ya 800K.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…