Marathon Km 42wale mabingwa wanakimbia kwa masaa 2 na dakika kidogo. Huyu jamaa inasemekana ni mzoefu, akitumia masaa 4 kwa Km 40 (10 Km/hr) akapumzika then masaa 3 kwa Km 30 (10 Km/hr) akafunga siku, itakuwa Km 70 kwa siku. Km 1400 kwa siku 20 na hapo atakuwa akikimbia masaa saba tu kwa sikuUmbali mrefu huwezi kimbia hivyo!
Mimi mwenyewe napepea kichizi 20km/h lakini mita mia mbili ulimi ote inje!
Huwezi maintain speed kubwa umbali mrefu NEVER
Wale wa marathon wanaikimbia km 42 kwa masaa mawil au matatu unasemajeNdo ushangae hata wewe mkuu
Wewe unadhani wanateka kifalafal tu, yaani unapita na viazi au mchovu mchovu tu utekwe? Ile Huwa syndicate na unakuwa planned. Mbona magari yanapita kila siku, umesikia yametekwa lini?Alisema aliishia Moro maana aliumwa tumbo.
Sijui yale mapori yenye majambazi/kutekana huko kigoma akipitaje kwa miguu.?
Ha ha ha ha ha ☺️☺️Sasa mtu hana kitu wamteke wa kazi gani?
Umepigaje hiyo hesabu ya 20Km/hr, na umekadiria alikuwa anakimbia masaa mangapi kwa siku.Kwahiyo kwa akili yako alitumia 20km/hr hivyo yuko sahihi
Mimi wakati wa kampeni nilikanyaga kutoka dar saa 10 alfajili kuitafta kigoma lakini huwezi amini nilifika kasulu saa sita usiku! Ndo ujue kigoma palefu! Pori kwa poriUsiwaamini sana Yanga! Nimetoka huko juzi, dereva katembea vibaya mno lakini tumefika Mbezi SAA nane usiku halafu kuna Mwana Yanga anjitokeza anatudanganya hapa. Nilikaa kimya tu
Sijui kama kweli alikimbia, lakini inawezekana kabisa. Akiweza kukimbia 10 Km/hr kwa masaa saba tu kwa siku. Itamchukua siku 20 kufika DSMOngeza masaa, anaanza safari sa 11 asbh hadi saa 3 uck, ni zaidi ya masaa 14.
Na hapo unakuta mtu umetembea kweli kweli! Kule mahali ni mbali sana.Mimi wakati wa kampeni nilikanyaga kutoka dar saa 10 alfajili kuitafta kigoma lakini huwezi amini nilifika kasulu saa sita usiku! Ndo ujue kigoma palefu! Pori kwa pori
Yanga wamepeleka pale makumbusho kwenye kiti cha kuzunguka kama midori ya simu kwenye kiooHivi hajatiwa mbaroni tu huyu jamaa
Ni kutembea pasipo masihara lakini kigoma isikie tu! Dreva yoyote anaijua ilivyo palefu halafu anatokea NGIDO MMOJA anasemaje amekimbia kwa mguu siku 22 tena anakwambia alipumzika morogoro siku 3 kwa homa ya tumboNa hapo unakuta mtu umetembea kweli kweli! Kule mahali ni mbali sana.
Inawezekana mkuu.1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Umewahi kutembea?1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Sio kutembea ni kutambaa.. Yaan lisaa lizima utembee 5 KM. Kwa kawaida mimi 20 Km natumia saa 1Hiyo speed ya 5 km per hr ni speed ya kutemba sio kukimbia
Simlaumu, wakulaumu ni Sisi tunaopiga makofiNi kutembea pasipo masihara lakini kigoma isikie tu! Dreva yoyote anaijua ilivyo palefu halafu anatokea NGIDO MMOJA anasemaje amekimbia kwa mguu siku 22 tena anakwambia alipumzika morogoro siku 3 kwa homa ya tumbo