Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Umbali mrefu huwezi kimbia hivyo!
Mimi mwenyewe napepea kichizi 20km/h lakini mita mia mbili ulimi ote inje!

Huwezi maintain speed kubwa umbali mrefu NEVER
Marathon Km 42wale mabingwa wanakimbia kwa masaa 2 na dakika kidogo. Huyu jamaa inasemekana ni mzoefu, akitumia masaa 4 kwa Km 40 (10 Km/hr) akapumzika then masaa 3 kwa Km 30 (10 Km/hr) akafunga siku, itakuwa Km 70 kwa siku. Km 1400 kwa siku 20 na hapo atakuwa akikimbia masaa saba tu kwa siku
 
Alisema aliishia Moro maana aliumwa tumbo.

Sijui yale mapori yenye majambazi/kutekana huko kigoma akipitaje kwa miguu.?
Wewe unadhani wanateka kifalafal tu, yaani unapita na viazi au mchovu mchovu tu utekwe? Ile Huwa syndicate na unakuwa planned. Mbona magari yanapita kila siku, umesikia yametekwa lini?
 
Na viongozi wa yanga wakaunga mkono na kumkaribisha ofisini ili ahalalishe uongo wake, poor yanga
 
Km hizo ni ndogo sana kutembea, acha uoga!
Wanafunzi tu wa day wanazipiga daily km za kutosha ambapo uki times the nafika km 1500 week tatu tu.
Huyo jamaa kwanza mvivu tu.
Kuna kipindi tumetembea kuanzia kumi na moja asub,tukafika saa nne usiku tuko wawili,porini!almost km 140
 
Usiwaamini sana Yanga! Nimetoka huko juzi, dereva katembea vibaya mno lakini tumefika Mbezi SAA nane usiku halafu kuna Mwana Yanga anjitokeza anatudanganya hapa. Nilikaa kimya tu
Mimi wakati wa kampeni nilikanyaga kutoka dar saa 10 alfajili kuitafta kigoma lakini huwezi amini nilifika kasulu saa sita usiku! Ndo ujue kigoma palefu! Pori kwa pori
 
Mimi wakati wa kampeni nilikanyaga kutoka dar saa 10 alfajili kuitafta kigoma lakini huwezi amini nilifika kasulu saa sita usiku! Ndo ujue kigoma palefu! Pori kwa pori
Na hapo unakuta mtu umetembea kweli kweli! Kule mahali ni mbali sana.
 
Na hapo unakuta mtu umetembea kweli kweli! Kule mahali ni mbali sana.
Ni kutembea pasipo masihara lakini kigoma isikie tu! Dreva yoyote anaijua ilivyo palefu halafu anatokea NGIDO MMOJA anasemaje amekimbia kwa mguu siku 22 tena anakwambia alipumzika morogoro siku 3 kwa homa ya tumbo
 
Simlaumu, wakulaumu ni Sisi tunaopiga makofi
 
Back
Top Bottom