mkuu kazi zako huwa unazitupia kwenye website gani?
mambo vp hapa?,nimejaribu kufanya hii beat,mnaionaje?watu wangu by AD-ZEE - HulkShare
okaoni
Hapa kwa mm km nilivyokuelewa ni unamaanisha je kuna uwezekano wa kutumia fl ndani ya cubase at the same time?jibu ni ndio kwa kufanya maelezo yafuatayo:
fl studio ina option ambayo inaitwa fruity rewire hii option inaweza kukuwezesha kuitumia fl kwenye software nyngne ya audio production.So unaweza ukatengeneza melody kwenye fl n ikatokea kwa cubase at the same time
thanks kwa info. eti VST plugin ipi nzuri kwa kufanya final mastering yenye kutoa quality nzuri kama sina sound card?
Mada nzuri sana naomba iendelezwe na wadau mbalimbali , ili tupate updates za plugins mpya, sound card gani ni nzuri kwa uimbaji wa kitanzania, condenser gani affordable zinatoa sound nzuri,
ni powermixer gani ya bei rahisi ina uwezo wa kutoa quality sound,Tofauti na cubase/nuendo ni software gani zinazotumiwa na studio zinazofanya vizuri hapa bongo,je unaweza kuitumia fl studio kwenye cubase....
ninamaanisha tofauti na zile plugins ambazo zinaingiliana kotekote je naweza kutumia vinanda vya fl kuvirekodi kwenye cubase?