Tujifunze softwares za music/audio production

Tujifunze softwares za music/audio production

Shikamoni ma producer , nyie tengenezene tuu miziki mtupe rahaa ! lakin na swali.... kwa nini ladha ya muziki wa zamani kama rhumba ni nzuri na haichuji kama ya leo ? mfano ukisikiliza wimbo wa Tabu ley alio imba mwaka 1988 wa Maze una utamu saaana kuliko wimbo wa Mbagala wa diamond aliomba nadhani 2011-12...inakuwa ni viombo vya kichina ua nini?
VS
 
Last edited by a moderator:
JE ni app ipi ya android (SMARTPHONE ) ambayo inaweza kurekodi audio. Yaani iwe inaweza kuweka beat then mtu unatia vocal???

mi naifahamu moja tu inaitwa SINGPLAY
 
Hamuhisi kama kuna umuhimu wa kuwa na GROUP MAALUM LA WHATSAPP ambapo hapo watu tungeshauriana zaidi na kwa urahisi zaidi? Hata tulio na idea ya kuimba ingetusaidia juu ya cha kuongeza au kupunguza
 
Mkuu natafut instrumental gospel za bongo au East Africa kama una link pleaz
 
okaoni

Hapa kwa mm km nilivyokuelewa ni unamaanisha je kuna uwezekano wa kutumia fl ndani ya cubase at the same time?jibu ni ndio kwa kufanya maelezo yafuatayo:

fl studio ina option ambayo inaitwa fruity rewire hii option inaweza kukuwezesha kuitumia fl kwenye software nyngne ya audio production.So unaweza ukatengeneza melody kwenye fl n ikatokea kwa cubase at the same time

okaoni na Kram Billz pia unaweza iload FL Studio kama stand alone VST Plugin na ukaitumia kwenye hiyo DAW software nyingine. Mfano kwenye Cubase unapofika ile sehemu ya project bonyeza F11 then on slot utaiona FL studio multitrack..ukiadd itakupa kidirisha kidogo cha FL studio unakliki na kuadd plugin na sound uzitakazo ambazo mixing yake utaifanyia kwenye FL studio yenyewe
 
Last edited by a moderator:
thanks kwa info. eti VST plugin ipi nzuri kwa kufanya final mastering yenye kutoa quality nzuri kama sina sound card?

Waves bundle iko poa sana, pia tafuta bx digital na Inflator Native na Inflator limiter
 
Mada nzuri sana naomba iendelezwe na wadau mbalimbali , ili tupate updates za plugins mpya, sound card gani ni nzuri kwa uimbaji wa kitanzania, condenser gani affordable zinatoa sound nzuri,

ni powermixer gani ya bei rahisi ina uwezo wa kutoa quality sound,Tofauti na cubase/nuendo ni software gani zinazotumiwa na studio zinazofanya vizuri hapa bongo,je unaweza kuitumia fl studio kwenye cubase....

ninamaanisha tofauti na zile plugins ambazo zinaingiliana kotekote je naweza kutumia vinanda vya fl kuvirekodi kwenye cubase?

Kuna plugin inaitwa Reveal Sound Spire ni kali sana ingawa udownlodiji wake kwa Windows ni mgumu kidogo kupata cracked version maana naona version nyingi zilizo cracked ni za Mac Os..ila ina sounds ambazo zinasound so natural na zipo nyingi

Ninatumia soundcard inaitwa presonus usb audiobox 2 ni nzuri sana..ina 2 channels za mic au instrument kama guitAr, ina 48+ V phantom power na ni user friendly sana..ukiinunua unapata na studio 2 artist software bure (hii ni DAW software pia kali)
 
Back
Top Bottom