ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Umenifanya niende youtube kuiangalia daah na ile style ya kugongesha miguu ilitamba sanaNdio video ya kwanza ya kibongo kali na kiwango . walitengenezewa na mjerumani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya niende youtube kuiangalia daah na ile style ya kugongesha miguu ilitamba sanaNdio video ya kwanza ya kibongo kali na kiwango . walitengenezewa na mjerumani.
Ni hivi Drez pamoja na Issa Wao wana nyumba za urithi hapa kinondoni shamba...Drez ni kama amekata ringi mana ndugu zake wapo yeye anasema karogwaSasa si umsaidie unakwama wapi??
Ma jobless ilishutiwa kinondoni shamba na leaders...video iko youtubeDuh,drez kupoteza nlionana naye muda sana
Na alikuwa yuko njwiiii
Ile video ya ya majobless unaikumbka
Ova
Duh zilikuwa pande zanguMa jobless ilishutiwa kinondoni shamba na leaders...video iko youtube
Zipo mkuu,Ni pm nikupe madude mengi ya Throw BackMimi nimeutafuta ule wa Pig black unaitwa nini mnataka mazeeeeee.Sijaupata mpk leo
Solid Ground Family hapo hakutakiwa kuwaweka na hao wakongwe..SOLID GROUND FAMILY ipi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka huu mstar afu wanavuta fegiWazee wa pafu kun ya pafu kuja mba? [emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana.
Aisee emb nifanyie mpango wa wimbo wao wa "kitambo kidog" nadhani utakuwa kwenye albamu yao ya kwanza.Nina albam zao zote mbili za cassete hao jamaa nilikuwa nawaelewa kinomaaaa,
Daah nikisikia habari kama hizi huwa nasikitika sana.BDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
Computer nilimuona maeneo ya kimara buchaBDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
Huu mstari si ulikuwa wa D Chief kwenye Yamenikuta ya GWM ft Sugu? Haikuwa kwenye ngoma za BDP."wanagwaya gwaya wamekanyaga miwaya"
nakumbuka mashairi kama hayo ya BDP ila sikumbuki wimbo uliitwaje
Beat ya Mdosi Amit Mental, sio Enrico.Dah kitambo kipindi hicho Enrico beat zake Kama vikopo.Kumwambia!
Alisema "Hata Amit anajua..." Alikuwa anampa shout out Amit Mental, producer wa wimbo.Kuna kipande kimoja katika kumwambia drezzy chief alicheka haa haa hata miti inajua!
Nakumbuka,hawa wana enzi zile tuliwabeba sanaMa jobless ilishutiwa kinondoni shamba na leaders...video iko youtube