TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

Mtaa wa igumila ulikuwa na mademu wakali aiseeeeehhhh dah
Igumila ndo kwetu na ndio waliharibu vipaji vingi sana na wanawake wa pale wanagawana, majukumu kama kombania.Wamama na wasichana wao wanapokezana.Mpaka wazimalize zote.
 
WWa
Wayege fc,Gungu rangers bila kusahau fc Congo za kigoma
Hapo walipita wengi kuanzia kina suleyman Yusuf "eppe" wa shangani znz,Saleh hilal,husen bhalo,Omar katumba,said maulid,seleman matola n.k
 
Hao Young Boys walikuwa wanapiga mpira hatari. Niliwashuhudia siku moja. Anyway, nilipenda battle la Bomu na Ashanti japo mi nilipenda siku ikicheza Sifa Politan na Kagera Rangers.
Hahsaa, unawapata hao jamaa. Walikuwa moto kweli. Sijui wameishia wapi siku hizi.
 
Wajelajela Fc
 
Tuna vipaji lakini hatuna mifumo sahihi ya soka. Mpira ni zaidi ya control, kupiga pasi na chenga. Angalia wale waliokusanywa na malinzi kutoka timu za mtaani kuunda timu ya taifa walifeli vibaya. Walifeli sio kwa sababu hawana vipaji bali kukosa elimu ya mpira.

Elimu ya mpira itamfanya mchezaji ajue formation mbalimbali , kumjenga mchezaji awe na nidhamu, umakini, stamina n.k na hivi vinafundishwa tangu mchezaji akiwa mdogo.
 
Akina mkude wenyewe wakawa walevi, wakawazaa watoto kama akina Amani george, kina lau wakaanza toka.Sema msisiri walipokulia malaya, pombe, kamari vikawapoteza.
Amani George aliacha mapema shida sijui nini labda kwakua kaka aliyekua US alimshauri ila aliacha wakati alishaanza kuwa na jina maana ni kipindi kile kile alikua mfungaji bora taifa cup,huyu Lau alikua anaujua sana sema mkorofi sana mechi za uswahilini lazima agombane

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Akina mkude wenyewe wakawa walevi, wakawazaa watoto kama akina Amani george, kina lau wakaanza toka.Sema msisiri walipokulia malaya, pombe, kamari vikawapoteza.
Huyu Amini mwinyimkuu alikua anaujua sana na alikua maarufu kwenye mpira msisiri nzima sema akaamua kuchagua mziki zaidi

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
WWa

Wayege fc,Gungu rangers bila kusahau fc Congo za kigoma
Hapo walipita wengi kuanzia kina suleyman Yusuf "eppe" wa shangani znz,Saleh hilal,husen bhalo,Omar katumba,said maulid,seleman matola n.k
Wayege fc zilikuwa mbili kuna moja ilikuwa ni ya buhanda na nyingine ilikuwa ni ya nyakageni

Gungu rangers mpaka leo bado ipo lkn haina makali kama miaka ya nyuma

Timu maarufu iliyokufa kabisa ni wayege fc na wizard fc

Timu zinazofanya vizuri up to now
Mwanga city (hawa ni centre)
Saigoni fc
Joy
Mwandiga fc
Kayengeyenge fc
 
Kwa wakazi was kibaha nazani mnazikumbuka hizi timu za ndondo maarufu.

Napoli.
Parasu parasu.
Lisbon.
Mwendapole.
Wabishi.
Wajalalani.
Bamba.

Kulikua na vipaji vingi sana vimepita na kupotelea humo.
 
Hapendi kufungwa
 
Mashindano ya Lucky Rangers pale Mwananyamala yalileta sana starehe ya kuona natural talents za wacheza mpira, mmm TP Nyundo pale Kinondoni Mkwajuni,5 Stars pale Biafra ground,mmmm Berlin SC pale kinondoni Hananasif, looo hii list ninaweza kesha nayo, nchi ikiwa ina heshima na adabu na TISS wakilinda nchi, just imagine unatoka kucheza sikinde saa nane usiku na unatembea kwa mguu hadi kinondoni Moscow na mtungi juu, unaguswa na mbu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…