Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ilikuwa noma sana mkuuUmenikumbusha baiskeli ya Phoenix, mzee alikuwa nayo nakumbuka alikuwa hadi anailipia ushuru sh 200 kama sikosei.
Aliinunulia hadi kufuli lile anafunga funguo anakaa nayo. Akukute umechezea au umeharibu [emoji3]
Hivi chemli limetoka kwenye Chimney au walitoa wapi hawa wahenga?Chemli ya stove.
Hahaha, Sijajua mkuu.Hivi chemli limetoka kwenye Chimney au walitoa wapi hawa wahenga?
Mimi kabisaAmbaye kaona tangazo la chaijaba kama bado anakaa kwao ajitafakari
Sabuni ya KOMOA, MSHINDI, GEISHATuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.
Naanza na Sabuni ya Mbuni…
Natafuta sana zile jingle za aha na chai jabaKomoa
aha dawa ya meno
Onga mchuzi mix
Baiskeli ya Phoenix ( Fonex)
Simu za Siemens, HTC, Panasonic
𝐏𝐚𝐥𝐞 𝐦𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐨𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 𝐡𝐚𝐳𝐢𝐩𝐨?Natafuta sana zile jingle za aha na chai jaba
Kwa bibi alikuwa na mtungi huo maji ni baridi na safi balaa. Ule mtungi ulikuwa balaa sana-Mtungi wa maji ya kunywa
-Kibuyu cha kuhifadhi maziwa
-Chungu cha kupikia chakula,msosi
wake mtamu sana
Kuna christmas moja nilipiga jeans na shati ya Bushoke niliwakimbiza sana mtaani madogo wenzangupeni za bic
mashati ya bushoke
Juisi ya sobo ya kuchanganya na maji
viatu vya fokona (four corner)
Hii ilikuwa na ufundi wake kusafisha, hapo mnamsikiliza Mkapa na hotuba zake zile unaanza wimbo wa Taifa kisha anahutubia, yenyewe inawaka tuChemli ya stove.
We jamaa umenikumbusha vitu vingi sana aisee. Noma sanaPens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).
Radio:
walkman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).
aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
TrueHii ilikuwa na ufundi wake kusafisha, hapo mnamsikiliza Mkapa na hotuba zake zile yenyewe inawaka tu
Kila weekend lilikuwa linaletwa Jagi kubwa bi mkubwa anatia maji na super dip, mnakunywa huku mnapiga wali nyama, mkimaliza mnaenda kucheza, good old daysSuper dip.
Pakiti moja ya super dip ilichanganywa kwenye maji (ujazo wa ndoo lita 20) na kutoa kinywaji safi kabisa.
Na mwenzake GIVHii ipp inadunda mtaani mpaka leo!
mara pap kitu kipo shingoniPicha inajieleza wakwongwe wanaifahamu hii.
View attachment 2720852
Hii ilikuwa bingwa kweli kweli 😀Bia ya Bingwa
Chawa/kunguni siwajui.Mimi huku kwetu watoto wangu hawajui chawa ni wadudu gani. Enzi zetu wadudu hawa walitutesa Sana. Tulikuwa pia na wimbo wa kuwaambia chawa waache kutusumbua usiku tukiwa tumelala na kutulazimisha kunyolewa nywele hadi vipara.
Jarida la FemaHili sio la zamani sana lile tangazo la ISHI Kampeni ndio lilikua kiboko
Usione Soo sema nao
Kuhusu kusubiri
Kua mwaminifu
Au kutumia kondomu