Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ilikuwa noma sana mkuuUmenikumbusha baiskeli ya Phoenix, mzee alikuwa nayo nakumbuka alikuwa hadi anailipia ushuru sh 200 kama sikosei.
Aliinunulia hadi kufuli lile anafunga funguo anakaa nayo. Akukute umechezea au umeharibu [emoji3]